Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Hamna lolote bana! Uchawi haupo.

Kama upo, mimi ofa yangu kwao iko palepale. Waniroge tuone...
Ndugu yangu ndo maneno yake hayo na vile vizee vinavyo semwa vibaya anawatukana bila woga huchukia ila baadae unashangaa ni marafiki sijui baada ya kumshindwa? hatupati jibu
 
Ndugu yangu ndo maneno yake hayo na vile vizee vinavyo semwa vibaya anawatukana bila woga huchukia ila baadae unashangaa ni marafiki sijui baada ya kumshindwa? hatupati jibu

Hahahaaaa! Wakishindwa utawasikia wanasema wewe tayari una kinga!
 
Ha ha haaa unamuamini kumbe kishazamishwa bahari ya kina kilefu hafiki mtu wee unatukana wachawi wanakuroga unakufa ha ha ha haaaa
Heheheheh aiseee hio inaitwa usiige kunya kwa tembo .

Unataka kumuiga jamaa eti kawatukane wachawi na waganga hahahahah mwenzako kashazindikwa huko kwao ile ngangari

Kudadadeki chamoto unakipata halafu unakuja kumlaumu jamaa

Hahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo pakujiuliza halafu wenyewe wanakula yalio oza yale mazuri mbio daresalam
Kwa hiyo watu wa daresalam wanakula biscuit na soda? Sasa hayo magimbi, viazi, mihogo na mazao mengine mnayolima huko unakoita mkoani, mnapoyakimbiza mbio mbio kuyaleta daresalam wanakula ng’ombe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nakushauri umgonge tu ukimla vizuri hatakusumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
Akim mwagisha maji bila shaka jamaa ataamua atakacho.

Majini na bina adam ni viumbe 2 tofati ukiweza kulikimbia jini kimbia kabisa ni mahiribifu tu na yanatuonea vivu tunafaidi vilivyomo bola kujificha likifata binadam ujue ndo shetani hilo lifukuze kila uwezavyo
 
Back
Top Bottom