Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Siwez kupingana na mawazo yako mkuu, nashukuru. Ila amini kwa sio kila ukisikiacho ni stori kama usemavyo ni real kabisa... Muombe Sana Mungu akuepusshe na haya majaga.
Wewe muongo ungeendelea kutupa hii stories si lazima uifanye iwe kama ya kweli.unakuja hapa eti umetapeliwa n.k na umeshauriwa usiandike....au aliyekuwa anaandika sehemu uliyokuwa una copy ameacha?amekushtukia?

Hivi ni lazima kila ukiandika story useme ni ya kweli?sisi wengine tukiwa free tunasoma tu wala si shida si lazima mpaka useme imekutokea.au ulitaka baadaye uaje uanzishe biashara flan hapa.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta sehemu ukaombewe....yataisha hayo,wala hatakuona tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wanajamvi, kipekee kabisa nipende kuwashukuru, kwa michango yenu katika ushauri juu ya tatizo lililo nikumba. Pia, namshukuru Mungu naendelea vyema kabisa, ingawaje vita ni kubwa mno...kwa sasa nimeshauriwa nisiseme chochote (sio kwa ubaya) ila ni kwa ajili ya usalama wangu pia.

Kwa wale wenye hofu na wasiwasi mm ni mzima wa afya... Ingawaje kumetokea mambo mengi sana ya kunirudisha nyuma, ikiwa ni pamoja na matapeli waliochukulia tatizo langu kama fursa. Nimepoteza pesa nyingi sana katika kutafuta suluhu la jambo langu, lakini nikiri wazi Mungu aliejuu mbinguni ashindwi na kitu, naamii atarejesha kila nilichopoteza.

Kwa sasa nimefunga biashara zangu zote (kwa muda) ili niokoe maisha yangu. Kwa sasa nipo kambini na timu ya maombi sehemu fulani (nisingependa kupataja) wananifanyia huduma. Kiukweli kabisa Vita ni kubwa mno Mama yangu kaponea chupu chupu kumpoteza.

Pia niwaweke wazi katika hili...mimi ndio msaada mkubwa katika familia yangu, matatizo haya yamesababisha ni yumbe sana kiuchumi. Hapa nilipo sina chochote (fedha) timu ya maombi inakesha usiku na mchana kunipigania..ukweli ni kwamba kama si nyinyi wana JF kunisisitiza ishu ya maombi nisingekuwa hai sasa. Naomba muendelee kuniombea pia.

Nashindwa nisemeje lkn najisikia aibu na fedhea kubwa kwa watu wanaopigania maisha yangu kushindwa kuwahudumia hata chakula na maji. Sio malipo kama wengine walivyohitaji ni bure kabisa ila hawa nao pia ni binadamu. Kama kuna yoyote ataguswa katika hili naomba aje Pm nitampa utaratibu aweze kunichagia chochote alichonacho (Nisieleweke vibaya tafadhali) kama utaguswa katika hilo naamini kabisa Mungu hatukuacha kama ulivyo ulipotoa atakuongezea mara dufu.

Nawashukuru sana kwa msaada wenu wana Jamii Forum. Niwatakie mchana mwema.

Brother haya mambo yapo wala siyo mastori kama unavyoamini,kuna jamaa yangu alikula msoto na hii game mpaka alikimbilia kanisani imani yake ilimuokoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh GuDume kaandika kuhusu wewe dakk 5 hazijapita wewe umekuja na Uzi wa kuomba msaada.
Jee kuna uhusiano wa hii I'd na gudume? Kwa nini aandike na wewe ndiyo uje na huu Uzi?
Je ni gudume anafanya hivi ili kutuonyesha anajua kutabiri? Yote yanawezekana.
Suspect everything, trust nothing.

Sent using Jamii Forums mobile app

Gudume nilimjibu kule kwamba tunauhakika gani kwamba nayeye sio tapeli
 
Msaada mbona nimeweka wazi ni maombi ndio yaliyonifikisha hapa...na haya matatizo yameanda toke Dec mwaka jana, hy J.tano unayosema ndio nimeanzisha thread hapa JF
Yaani story umeanza jumatano Leo jumapili unasema maombi yamefanya usife kwa ushauri wa WanaJf . halafu hutaki kutaja ulipopata msaada wengine wenye shida na Wao wapone mmhhh hapa kuna kupigwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom