Nimekutana na mrembo (mdigo)kwenye bus sijui nianze vipi kuomba namba

Julius Husseni

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,364
1,078
Wakuu samahanini nimekutana na binti nipo safarini natoka dar naelekea mkoani nipo kwenye bus siti 1 na mrembo kanitajia location yake tanga anasema yeye mdigo.. Vipi wale wenyewe uzoefu na hawa walimbwende ww kidigo.

Halafu sijawahi omba namba ya binti nisaidieni jinsi ya kuomba namba asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si mmefahamiana kisela? Mwambie naomba mawasiliano yake kama hatajali. Ila kama unasura ya kihuni na nywele ambazo hazichangamana hutapata ila kama upo kama mwanaume wa mkoani unapata fasta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu samahanini nimekutana na binti nipo safarini natoka dar naelekea mkoani nipo kwenye bus siti 1 na mrembo kanitajia location yake tanga anasema yeye mdigo.. Vipi wale wenyewe uzoefu na hawa walimbwende ww kidigo.

Halafu sijawahi omba namba ya binti nisaidieni jinsi ya kuomba namba asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku akikupatia apointment nijulishe nije kukufundisha namna ya kufanya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom