Nimekutana na mrembo (mdigo)kwenye bus niombeje namba

Julius Husseni

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,364
1,078
Wakuu samahanini nimekutana na binti nipo safarini natoka dar naelekea mkoani nipo kwenye bus siti 1 na mrembo kanitajia location yake tanga anasema yeye mdigo.. Vipi wale wenyewe uzoefu na hawa walimbwende ww kidigo.

Halafu sijawahi omba namba ya binti nisaidieni jinsi ya kuomba namba asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie akutajie no yake umuhamishie hela ya lunch ya safarini kwa M pesa. Kama huna hela kwenye cm, nichek nikurushie book. Inatosha kumfikia na wewe kubaki na No yake.
 
Duuuu acha woga Mwanaume siku zote unatakiwa kujiamini unaomba ushauri kwa vitu vidogovidogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom