Nimekutana Na Mh. Lisu na hivi ndo alivonambia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimekutana Na Mh. Lisu na hivi ndo alivonambia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sekulu, Jun 1, 2011.

 1. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  "Ni heri Dr.Slaa ashinde urais kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge."


  Maneno ya Rais Kikwete mwezi Septemba mwaka 2010.


  Source: Tundu Lissu | Facebook
  Comments Zilikua Kama Hivi:

  • Fasso Tumaini Nyakwaka Jamaa anafahamu rekodi yako ya utendaji das why alitishika sana!!!Tanzania bila ( Chai Chapati Mandazi) inawezekana kabsaaaa!!!about an hour ago via Facebook Mobile · Like

  • [​IMG]Joseph Pongu mmmh!mh.Tundu,ni sawa lkn sidhani kama post kama hizi zinaelemisha,nategemea jinsi watu wanavyowaamini,wanahitaji kuona mkielimisha na si kujisifia,jana ulipost jambo la muhm lkn nina imani wengi hawalifahamu,kazi yako hapa iwe ni kuelimisha na kutoa changamoto,si kujisifiaabout an hour ago via Facebook Mobile · Like

  • [​IMG]Joseph Pongu mmmh!mh.Tundu,ni sawa lkn sidhani kama post kama hizi zinaelemisha,nategemea jinsi watu wanavyowaamini,wanahitaji kuona mkielimisha na si kujisifia,jana ulipost jambo la muhm lkn nina imani wengi hawalifahamu,kazi yako hapa iwe ni kuelimisha na kutoa changamoto,si kujisifiaabout an hour ago via Facebook Mobile · Like

  • [​IMG]George Tunge Kwn kashaelimisha vngapi na 2kapenda joseph...,so wkt fln nae anahitaji kurud nyuma na kuwa proud kwa yale wanayogwaya toka kwake,tn hapo kamnukuu kiongoz wa nchi ni kielelezo tosha ht yy alitambua uwepo wake bungeni utampa shida.so let d man b proud 4 himself jst 4 once c mby!anayofanyanya ni zaidi ya alichokisema hapa!2ko pmj broda.about an hour ago via Facebook Mobile · Like

  • [​IMG]Chanya Charles Iyo kauri kama unafikir kwa upeo utahusisha na matukio anayofanyiwa mh Lisu akiwa bungeni na katika harakati za kumtetea mnyonge mfano tukio la tarime statement inaelimisha labda kama hujui kuhusisha matukio @Tundu Lisu39 minutes ago via Facebook Mobile · Like

  • [​IMG]Emil Mahaja ‎@joseph..mnataka muelimishwe mangapi? Mnaelimisha mafisadi wanaimaliza nchi hamtaki kuelewa..then kama unaona post za lissu hazifai basi usizosome.. Mh lissu sisi tunajua hila zote za jk juu yako alisema hivyo na kama hakusema basi ajitokeze akane hadharani..piga kazi broda34 minutes ago via Facebook Mobile · Like


  Sina ubaya Na mTu
   
 2. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,192
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  nadhani kikwete was right
   
 3. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kwanini he was Right??
   
 4. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,192
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  lisu is a pain in them asses, driving force of the revolution.
   
 5. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  :biggrin1: hahahahahahaha
   
Loading...