Nimekutana na jini Kinondoni makaburini

appoh

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
4,896
1,642
mwezi wa 4 niliwekwa rumande segerea kwa kesi ya kusingiziwa kubaka japo si kweli kutokana na kua jela mda mrefu nilipotoka tu nikasema niende kinondoni kwa ajili ya kujiliwaza na kujitoa uchovu wa jela nilifika pale saa 6; 45 usiku .

nilipofika barabari tu nikakutana na binti kama wa kiarabu lakini ananukia vizuru tu nikamuliizia biashara nae akajibu poa basi bwana tukakubaliana twende hugo guest mule ndani lakini tukapishana bei kwani gharama za kumudu kumpeleka ndani na kuumpa yweye hela sikuwa nazo

basi akaniambia kama ni hivyo sababu nae hela anaitaji inabidi twende makaburini tu nikaona ni bora nitaokea gharama
tulifika makaburini nikaanza kufungua suruali yangu sasa kilichonishangaza alaikua amevaa nguo nyeupe ikabadiika na kua nyekundu then ikawa yneupe ilikua gafla sana within a second nilihisi ni macho na pombe tu gafla nikasikia kicheka cha nguvu kilichoumiza masikio yangu niliogopa sana aisee gafla akapotea duh sijui nilitakiwa kuoneswa nini maana nahisi hii ina maana sana dah hii ni mara ya kwanza kukutana na jini ila alinitisha sana
 
hiyo tunasema pata starehe katikati ya matatizo.
kama ni jini na akakupa mbunye mbona unagonga tu best?? unauhakika gani kwamba wote unaozin nao ni binadamu?
 
mwezi wa 4 niliwekwa rumande segerea kwa kesi ya kusingiziwa kubaka japo si kweli kutokana na kua jela mda mrefu nilipotoka tu nikasema niende kinondoni kwa ajili ya kujiliwaza na kujitoa uchovu wa jela nilifika pale saa 6; 45 usiku .

nilipofika barabari tu nikakutana na binti kama wa kiarabu lakini ananukia vizuru tu nikamuliizia biashara nae akajibu poa basi bwana tukakubaliana twende hugo guest mule ndani lakini tukapishana bei kwani gharama za kumudu kumpeleka ndani na kuumpa yweye hela sikuwa nazo

basi akaniambia kama ni hivyo sababu nae hela anaitaji inabidi twende makaburini tu nikaona ni bora nitaokea gharama
tulifika makaburini nikaanza kufungua suruali yangu sasa kilichonishangaza alaikua amevaa nguo nyeupe ikabadiika na kua nyekundu then ikawa yneupe ilikua gafla sana within a second nilihisi ni macho na pombe tu gafla nikasikia kicheka cha nguvu kilichoumiza masikio yangu niliogopa sana aisee gafla akapotea duh sijui nilitakiwa kuoneswa nini maana nahisi hii ina maana sana dah hii ni mara ya kwanza kukutana na jini ila alinitisha sana

Huo ulikuwa ni mzimu ( Ghost ), kuna tofauti kubwa sana kati ya mzimu ( ghost ) na jini, coz jini yupo kwenye familia ya DEMONS na ghost ni spirit ya mtu ambaye aliwahi kuwa binadamu.
 
Umejikagua vizuri??? Inawezekana jongoo akawa usingizini milele! ndo mkomage! huna hata uoga?! ngono makaburini, jamani! mmmh

Haaahaahaaa! Asante sana kwa kunichekesha sana jioni ya leo! Yaani jini kaitwanga jongoo usingizi wa kudumu?
 
Angeondoka na hicho kining'inio chako ndo ningeamini kama kweli huyo ni jini.

Kama kining'inio chako kipo naamini kabisa hiyo ni story ya kutunga.
 
mwezi wa 4 niliwekwa rumande segerea kwa kesi ya kusingiziwa kubaka japo si kweli kutokana na kua jela mda mrefu nilipotoka tu nikasema niende kinondoni kwa ajili ya kujiliwaza na kujitoa uchovu wa jela nilifika pale saa 6; 45 usiku .

nilipofika barabari tu nikakutana na binti kama wa kiarabu lakini ananukia vizuru tu nikamuliizia biashara nae akajibu poa basi bwana tukakubaliana twende hugo guest mule ndani lakini tukapishana bei kwani gharama za kumudu kumpeleka ndani na kuumpa yweye hela sikuwa nazo

basi akaniambia kama ni hivyo sababu nae hela anaitaji inabidi twende makaburini tu nikaona ni bora nitaokea gharama
tulifika makaburini nikaanza kufungua suruali yangu sasa kilichonishangaza alaikua amevaa nguo nyeupe ikabadiika na kua nyekundu then ikawa yneupe ilikua gafla sana within a second nilihisi ni macho na pombe tu gafla nikasikia kicheka cha nguvu kilichoumiza masikio yangu niliogopa sana aisee gafla akapotea duh sijui nilitakiwa kuoneswa nini maana nahisi hii ina maana sana dah hii ni mara ya kwanza kukutana na jini ila alinitisha sana
Kwi kwi kwi Nasikiaga majini yanakuwaga na kwato!
 
Kuna mtu alioa na hakubahatika kupata watoto walio hai, kila mara akimtia mimba mkewe anajifungua watoto wafu. Baada ya kuchekiwa hospitali yeye na mkewew wakaonekana hawana tatizo lolote ndipo walipoenda kwenye maombi.Baada ya kufika mbele ya mtumishi wa Mungu, mtumishi alifunguka mbele yao na kumueleza anaona yeye katika ulimwengu wa roho akifanya mapenzi na jini katika makaburi usiku, jamaa akajibu ndio lakini ni zamani. Ndipo mtumishi akamwambia alifanya mapenzi na pepo mchafu yaani jini na ndiyo anayesababisha mkewe kuza watoto wafu.

Baada ya kufanyiwa maombi kwa muda huyu jamaa tatizo lake likaisha, hivi ninavyosema ana watoto wawili hawana tatizo lolote.

Haya mambo jamani yapo isipokuwa sisi wanadamu tunategemea sana macho ya kimwili badala ya macho ya rohoni. Tuache uasherati tusije tukaangukia katika mikoni isiyo salama.
 
mwezi wa 4 niliwekwa rumande segerea kwa kesi ya kusingiziwa kubaka japo si kweli kutokana na kua jela mda mrefu nilipotoka tu nikasema niende kinondoni kwa ajili ya kujiliwaza na kujitoa uchovu wa jela nilifika pale saa 6; 45 usiku .

nilipofika barabari tu nikakutana na binti kama wa kiarabu lakini ananukia vizuru tu nikamuliizia biashara nae akajibu poa basi bwana tukakubaliana twende hugo guest mule ndani lakini tukapishana bei kwani gharama za kumudu kumpeleka ndani na kuumpa yweye hela sikuwa nazo

basi akaniambia kama ni hivyo sababu nae hela anaitaji inabidi twende makaburini tu nikaona ni bora nitaokea gharama
tulifika makaburini nikaanza kufungua suruali yangu sasa kilichonishangaza alaikua amevaa nguo nyeupe ikabadiika na kua nyekundu then ikawa yneupe ilikua gafla sana within a second nilihisi ni macho na pombe tu gafla nikasikia kicheka cha nguvu kilichoumiza masikio yangu niliogopa sana aisee gafla akapotea duh sijui nilitakiwa kuoneswa nini maana nahisi hii ina maana sana dah hii ni mara ya kwanza kukutana na jini ila alinitisha sana

Pole kwa kusingiziwa kesi ya kubaka na kupelekwa jela kwa kosa lisilo lako! Lakani pia najaribu kufikiria kipuuzi, hata kama uliyekutana naye asingekuwa ni jini, lakini bado ulikuwa una risk maisha yako kwa kwenda ma-changudoa. Umenusurika na kifungo cha maisha jela unataka kujitumbukiza kwenye kifungo cha magonjwa yasiyo na tiba? Tafakari!!!
 
Nawasiwasi kesi yako iliyokupeleka segerea hawajakusingizia binadamu wa kawaida anapata wapi guts za ku do makaburini tena usiku wa manane?
 
mwezi wa 4 niliwekwa rumande segerea kwa kesi ya kusingiziwa kubaka japo si kweli kutokana na kua jela mda mrefu nilipotoka tu nikasema niende kinondoni kwa ajili ya kujiliwaza na kujitoa uchovu wa jela nilifika pale saa 6; 45 usiku .

nilipofika barabari tu nikakutana na binti kama wa kiarabu lakini ananukia vizuru tu nikamuliizia biashara nae akajibu poa basi bwana tukakubaliana twende hugo guest mule ndani lakini tukapishana bei kwani gharama za kumudu kumpeleka ndani na kuumpa yweye hela sikuwa nazo

basi akaniambia kama ni hivyo sababu nae hela anaitaji inabidi twende makaburini tu nikaona ni bora nitaokea gharama
tulifika makaburini nikaanza kufungua suruali yangu sasa kilichonishangaza alaikua amevaa nguo nyeupe ikabadiika na kua nyekundu then ikawa yneupe ilikua gafla sana within a second nilihisi ni macho na pombe tu gafla nikasikia kicheka cha nguvu kilichoumiza masikio yangu niliogopa sana aisee gafla akapotea duh sijui nilitakiwa kuoneswa nini maana nahisi hii ina maana sana dah hii ni mara ya kwanza kukutana na jini ila alinitisha sana

muongo,mwezi wa nne na wa tano umepost thead na ku-comment...au jela wanruhusu simu na computer kutumika siku hizi
 
Astaghafirullah,,.....wewe ulibaka kweli wala hukusingiziwa kama una guts za kuzini juu ya viumbe wa Mungu ambao wamemaliza siku zao za kuishi hapa Dunian (kwenye kaburi) ambapo naww cku moja utakufa na utazikwa kama walivyozikwa wenzio,,..hmm unaroho nzito nawala huoni haya kueleza upuuzi kama huo......,,Mungu akusamehe na akupe ufahamu wa kuyaendea mema,,...!!
 
muongo,mwezi wa nne na wa tano umepost thead na ku-comment...au jela wanruhusu simu na computer kutumika siku hizi

mwezi wa nne nnikamatwa nikaonga nikatoroka tarehe 6 may nikakamatwa na kupelekwa segerea kaka
 
Back
Top Bottom