Area 254
JF-Expert Member
- Jun 2, 2013
- 324
- 64
hahahah jf bhana dah
kweli wewe una matatizo,licha ya jamaa kukukosoa,eti bado unacheka tu.
acha kudanganya wewe,unataka nikutajie jina lako halisi ndio ufahamu ninakufahamu vzr?

mwezi wa 4 niliwekwa rumande segerea kwa kesi ya kusingiziwa kubaka japo si kweli kutokana na kua jela mda mrefu nilipotoka tu nikasema niende kinondoni kwa ajili ya kujiliwaza na kujitoa uchovu wa jela nilifika pale saa 6; 45 usiku .
nilipofika barabari tu nikakutana na binti kama wa kiarabu lakini ananukia vizuru tu nikamuliizia biashara nae akajibu poa basi bwana tukakubaliana twende hugo guest mule ndani lakini tukapishana bei kwani gharama za kumudu kumpeleka ndani na kuumpa yweye hela sikuwa nazo
basi akaniambia kama ni hivyo sababu nae hela anaitaji inabidi twende makaburini tu nikaona ni bora nitaokea gharama
tulifika makaburini nikaanza kufungua suruali yangu sasa kilichonishangaza alaikua amevaa nguo nyeupe ikabadiika na kua nyekundu then ikawa yneupe ilikua gafla sana within a second nilihisi ni macho na pombe tu gafla nikasikia kicheka cha nguvu kilichoumiza masikio yangu niliogopa sana aisee gafla akapotea duh sijui nilitakiwa kuoneswa nini maana nahisi hii ina maana sana dah hii ni mara ya kwanza kukutana na jini ila alinitisha sana

aiseee mnapenda kufukunyuaappoh
Huu ni uzi wako pili unakutana na jini mwingine huu hapa
Nimekutana na jini Kinondoni makaburini
Asilimia kubwa ya threads za jamiiforums ni UONGO MTUPU.
hakuna mtu anatoka jela anakuwa na uwezo hata wa kuingia humu jf. acha uongo bwana. story za kutunga hizi. pia kumbuka ulisharusha picha unasema ya jini kwenye ile thread nyingine.naona majini yanakumendea sio muda utayaona kwelikweli kwasababu unayaita.mwezi wa 4 niliwekwa rumande segerea kwa kesi ya kusingiziwa kubaka japo si kweli kutokana na kua jela mda mrefu nilipotoka tu nikasema niende kinondoni kwa ajili ya kujiliwaza na kujitoa uchovu wa jela nilifika pale saa 6; 45 usiku .
nilipofika barabari tu nikakutana na binti kama wa kiarabu lakini ananukia vizuru tu nikamuliizia biashara nae akajibu poa basi bwana tukakubaliana twende hugo guest mule ndani lakini tukapishana bei kwani gharama za kumudu kumpeleka ndani na kuumpa yweye hela sikuwa nazo
basi akaniambia kama ni hivyo sababu nae hela anaitaji inabidi twende makaburini tu nikaona ni bora nitaokea gharama
tulifika makaburini nikaanza kufungua suruali yangu sasa kilichonishangaza alaikua amevaa nguo nyeupe ikabadiika na kua nyekundu then ikawa yneupe ilikua gafla sana within a second nilihisi ni macho na pombe tu gafla nikasikia kicheka cha nguvu kilichoumiza masikio yangu niliogopa sana aisee gafla akapotea duh sijui nilitakiwa kuoneswa nini maana nahisi hii ina maana sana dah hii ni mara ya kwanza kukutana na jini ila alinitisha sana
Mhhh.....ungemgonga ndio ungeijua tamu yake bhana
pitapita tena kesho waweza kubahatika
appoh
Huu ni uzi wako pili unakutana na jini mwingine huu hapa
Nimekutana na jini Kinondoni makaburini
Asilimia kubwa ya threads za jamiiforums ni UONGO MTUPU.
Tatizo kama hili humpata mtu akishakunywa nyagi za kutosha na bangi juu.....majini utayaona tu!mwezi wa 4 niliwekwa rumande segerea kwa kesi ya kusingiziwa kubaka japo si kweli kutokana na kua jela mda mrefu nilipotoka tu nikasema niende kinondoni kwa ajili ya kujiliwaza na kujitoa uchovu wa jela nilifika pale saa 6; 45 usiku .