Nimekutana na jini Kinondoni makaburini

Yupo mmoja bonge hivi bana huyo anachukua helA na ukifika jogoo hawiki unaishia kumpa hela na kusepa chezea kndoni weweee
 
kweli wewe una matatizo,licha ya jamaa kukukosoa,eti bado unacheka tu.
acha kudanganya wewe,unataka nikutajie jina lako halisi ndio ufahamu ninakufahamu vzr?

nacheka sabau jamaa kaangalia makosa kiukweli nimekosea kuandika sasa nacheka jinsi alivyokua makini kuangalia makosa na kusema ni mchanganyo wa ubongo kutokana na tukio hilo ni hivyo mkuu wewe ni nitaje tu
 
mwezi wa 4 niliwekwa rumande segerea kwa kesi ya kusingiziwa kubaka japo si kweli kutokana na kua jela mda mrefu nilipotoka tu nikasema niende kinondoni kwa ajili ya kujiliwaza na kujitoa uchovu wa jela nilifika pale saa 6; 45 usiku .

nilipofika barabari tu nikakutana na binti kama wa kiarabu lakini ananukia vizuru tu nikamuliizia biashara nae akajibu poa basi bwana tukakubaliana twende hugo guest mule ndani lakini tukapishana bei kwani gharama za kumudu kumpeleka ndani na kuumpa yweye hela sikuwa nazo

basi akaniambia kama ni hivyo sababu nae hela anaitaji inabidi twende makaburini tu nikaona ni bora nitaokea gharama
tulifika makaburini nikaanza kufungua suruali yangu sasa kilichonishangaza alaikua amevaa nguo nyeupe ikabadiika na kua nyekundu then ikawa yneupe ilikua gafla sana within a second nilihisi ni macho na pombe tu gafla nikasikia kicheka cha nguvu kilichoumiza masikio yangu niliogopa sana aisee gafla akapotea duh sijui nilitakiwa kuoneswa nini maana nahisi hii ina maana sana dah hii ni mara ya kwanza kukutana na jini ila alinitisha sana

Bd maluweluwe ya jela hayajaisha umeenda makaburini una tatizo co hali ya kawaida
 
halafu baada ya hapo ukashtuka usingizini na usingizi ukaisha hukulala tena ....pole sana dugu
 
mwezi wa 4 niliwekwa rumande segerea kwa kesi ya kusingiziwa kubaka japo si kweli kutokana na kua jela mda mrefu nilipotoka tu nikasema niende kinondoni kwa ajili ya kujiliwaza na kujitoa uchovu wa jela nilifika pale saa 6; 45 usiku .

nilipofika barabari tu nikakutana na binti kama wa kiarabu lakini ananukia vizuru tu nikamuliizia biashara nae akajibu poa basi bwana tukakubaliana twende hugo guest mule ndani lakini tukapishana bei kwani gharama za kumudu kumpeleka ndani na kuumpa yweye hela sikuwa nazo

basi akaniambia kama ni hivyo sababu nae hela anaitaji inabidi twende makaburini tu nikaona ni bora nitaokea gharama
tulifika makaburini nikaanza kufungua suruali yangu sasa kilichonishangaza alaikua amevaa nguo nyeupe ikabadiika na kua nyekundu then ikawa yneupe ilikua gafla sana within a second nilihisi ni macho na pombe tu gafla nikasikia kicheka cha nguvu kilichoumiza masikio yangu niliogopa sana aisee gafla akapotea duh sijui nilitakiwa kuoneswa nini maana nahisi hii ina maana sana dah hii ni mara ya kwanza kukutana na jini ila alinitisha sana

appoh

Huu ni uzi wako pili unakutana na jini mwingine huu hapa

Nimekutana na jini Kinondoni makaburini

Asilimia kubwa ya threads za jamiiforums ni UONGO MTUPU.
 
mwezi wa 4 niliwekwa rumande segerea kwa kesi ya kusingiziwa kubaka japo si kweli kutokana na kua jela mda mrefu nilipotoka tu nikasema niende kinondoni kwa ajili ya kujiliwaza na kujitoa uchovu wa jela nilifika pale saa 6; 45 usiku .

nilipofika barabari tu nikakutana na binti kama wa kiarabu lakini ananukia vizuru tu nikamuliizia biashara nae akajibu poa basi bwana tukakubaliana twende hugo guest mule ndani lakini tukapishana bei kwani gharama za kumudu kumpeleka ndani na kuumpa yweye hela sikuwa nazo

basi akaniambia kama ni hivyo sababu nae hela anaitaji inabidi twende makaburini tu nikaona ni bora nitaokea gharama
tulifika makaburini nikaanza kufungua suruali yangu sasa kilichonishangaza alaikua amevaa nguo nyeupe ikabadiika na kua nyekundu then ikawa yneupe ilikua gafla sana within a second nilihisi ni macho na pombe tu gafla nikasikia kicheka cha nguvu kilichoumiza masikio yangu niliogopa sana aisee gafla akapotea duh sijui nilitakiwa kuoneswa nini maana nahisi hii ina maana sana dah hii ni mara ya kwanza kukutana na jini ila alinitisha sana

Tafuta watafsiri WA ndoto utaelewa maana ya ndoto yako
 
hakuna mtu anatoka jela anakuwa na uwezo hata wa kuingia humu jf. acha uongo bwana. story za kutunga hizi. pia kumbuka ulisharusha picha unasema ya jini kwenye ile thread nyingine.naona majini yanakumendea sio muda utayaona kwelikweli kwasababu unayaita.
 
Hivi huko mitaani hampati wanawake mpaka uende usiku kuwatafuta machangudoa? Umpate changu, utafute gest, yaani shida ya nini? Tafuta wa mtaani halafu mlete getoni kwako. Khaa mnapenda kujiabisha wajameni. Ona sasa mpaka unataka kufanya nyumba za wafu kuwa guest acha wakuhemeshe tu.
 
mwezi wa 4 niliwekwa rumande segerea kwa kesi ya kusingiziwa kubaka japo si kweli kutokana na kua jela mda mrefu nilipotoka tu nikasema niende kinondoni kwa ajili ya kujiliwaza na kujitoa uchovu wa jela nilifika pale saa 6; 45 usiku .

nilipofika barabari tu nikakutana na binti kama wa kiarabu lakini ananukia vizuru tu nikamuliizia biashara nae akajibu poa basi bwana tukakubaliana twende hugo guest mule ndani lakini tukapishana bei kwani gharama za kumudu kumpeleka ndani na kuumpa yweye hela sikuwa nazo

basi akaniambia kama ni hivyo sababu nae hela anaitaji inabidi twende makaburini tu nikaona ni bora nitaokea gharama
tulifika makaburini nikaanza kufungua suruali yangu sasa kilichonishangaza alaikua amevaa nguo nyeupe ikabadiika na kua nyekundu then ikawa yneupe ilikua gafla sana within a second nilihisi ni macho na pombe tu gafla nikasikia kicheka cha nguvu kilichoumiza masikio yangu niliogopa sana aisee gafla akapotea duh sijui nilitakiwa kuoneswa nini maana nahisi hii ina maana sana dah hii ni mara ya kwanza kukutana na jini ila alinitisha sana
Tatizo kama hili humpata mtu akishakunywa nyagi za kutosha na bangi juu.....majini utayaona tu!
 
Rudi tena maeneo hayo,labda utamkuta umuulize lengo lake ilikuwa nini.
 
Back
Top Bottom