Nimekutana na hii message kwamba nimeshinda euro laki 8 na 50 jee ni kweli?

Hahahaaa,nimepigiwa Simu na demu nisiyemfaham,eti umeshinda laki 2.5 kitoka vodacom,an
 
last month hao coca na Pepsi nimewaonesha matapeli wengine tunahofu ya Mungu hawatuwezi hata wakisomea degree.ukitaka kuamini nenda nao sawa for fun hadi watagotea kuwa to release your fund, Authority ya kule uingereza inakutaka uende.au laa basi wanakuconnect na mawakili in partnership to Pepsi sasa kuna gharama za ofisi uchangie ndipo pesa yako iachiliwe kwenye account yako.nilichofanya nikawaomba kwa adabu zote kwamba ni kweli zawadi hiyo ingenikwamua na umaskini wangu kama zawadi inavyosema ila nipo tayari kuidhinisha kiasi hicho cha pesa za gharama ya ofisi ya mawwakili anipe utaratibu wa kufuata.yaani wamepotea hewani.nikakumbuka aliyeniingiza mkenge huo ni namba ya hapa hapa bongo nikasema nimtafute namba haipatikani jumla ila.pia angalia google address za barua zao watakazo kutumia hazifanani na address za kule UK.
 
77200a6433592b9b8db695143ba384a9.jpg


Hii nayo naibiwa wajameni? mana imekuwa hakuna habari njema hadi utoe pesa kwanza.

kuhusu hao wa scholarship za Scholars Hub Africans wanasema full funded lakini kuna pesa zilipwe kukamilisha usaili wa MBA studies Texila American University. hivi nao wanaukwel wowote?
 
Nilishakutana na hawa wapuuzi cha kushangaza wananiuliza namba ya simu wakati walinitumia SMS kupitia namba yangu na huwa wanaulizaga details za mtu hawa wezi tu wapuuze mkuu
 
77200a6433592b9b8db695143ba384a9.jpg


Hii nayo naibiwa wajameni? mana imekuwa hakuna habari njema hadi utoe pesa kwanza.

kuhusu hao wa scholarship za Scholars Hub Africans wanasema full funded lakini kuna pesa zilipwe kukamilisha usaili wa MBA studies Texila American University. hivi nao wanaukwel wowote?

Vipi mkuu uliwapa hela?
 
Mkuu,
Watakusafirisha hao jamaa "human trafficking" hautaikwepa kama ukiwatumia details zako.
 
Kwa nn ushinde kitu ambacho hujashindana wala kushiriki....krb ktk upigwaji ukawasimulie na wengine.....achana nao waogope hao ni wezi yakhe
 
THE REMITTANCE DIRECTOR
NATION WIDE BANK PLC.
329 GREEN STREET UPTON PARKLONDONE139AB - UNITED KINGDOM

TEL: +44 1173256616

FAX: +44 700 593 8633

EMAIL: natwestbnkuk@consultant.com



TRANSFER PROCEEDINGS OF GBP850.000.00 POUNDS



WE ACKNOWLEDGE RECEIPT OF YOUR LETTER OF CLAIMS AS WAS SENT IN TO THIS DEPARTMENT.... WE ALSO WISH TO INFORM YOU THAT YOUR FILE HAS BEEN APPROVED FOR PAYMENT AND THIS DEPARTMENT IS WILLING TO DO ALL, NECESSARY TO ENSURE THAT YOU ARE PAID YOUR FULL AND DUE ENTITLEMENT.

TO THIS EFFECT, WE REQUIRE URGENTLY CERTAIN DOCUMENTS WHICH YOU MUST PROVIDE IN ORDER TO MAKE YOUR CLAIM TOTALLY LEGAL, ACCORDING TO THE RELEVANT STATUS;

1. A PROOF OF YOUR IDENTITY [COPY OF YOUR NATIONAL I.D/DRIVER'S LICENSE OR INTERNATIONAL PASSPORT]

2. PROOF OF WINNING [THE CERTIFICATE OF AWARD ISSUED TO YOU BY (COCA COLA AWARD COMPANY UK)


3. A FUND RELEASE ORDER [F.R.O] FROM THE FINANCIAL SERVICES AUTHORITY.

AS SOON AS WE RECEIVE THE COMPLETE TRANSFER REQUIREMENTS MENTIONED ABOVE, THE MANAGEMENT BOARD OF NATION WIDE BANK PLC WILL COMPLETE ALL CLAIM PROCESSES AND REMIT THE TOTAL SUM OF GBP850.000[ EIGHT HUNDRED AND FIFTY THOUSAND GREAT BRITISH POUNDS] IN YOUR CREDIT [NWBK-TEMP/ACC 73065461] TO YOU THROUGH YOUR APPOINTED MEANS.
mkuu jichanganye meseji kama hizo tulidhatumiwa sana weka wazi mambo yako hutokuwa salaama hususan akaunt zako zote za fedha
 
ahsanteni jamani hata mimi walinitumia meseji hiyohiyo nikapuuzia tu maana ni utapeli mtupu
 
Back
Top Bottom