Nimekutana Na Hii Kitu Wakuu, Hivi Ni Kweli Au?

Sidhani kama upo mkuu, unaweza ukaanzisha. Hayo mambo yanaongelewa ila ni juu jui tu, unaweza ukaanzisha uzi.
Tatizo mimi sina uelewa na haya mambo.. lakini nitaanzisha uzi soon na nitakutag chief, utatufungua wengi sana maana tunapigwa sana kwenye hizi simu basi tu
 
Kwa bajeti ya 650-750K naweza pata simu nzuri
Napenda muonekano mzuri
Kioo AMOLED
Camera za nyuma 2 au 3
Fast charging
Nyepesi
=<158mm

Screenshot_2022-03-23-16-20-18-628_com.twitter.android.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom