Nimekuta shilingi 100 mbovu kwenye begi la kazini, huu siyo ushirikina?

Lazia Sultan

Senior Member
Jun 4, 2020
120
328
Sijawahi kuweka hela, kwenye begi hilo, nikiwa katika harakati za kulifua nikakuta shilingi mia yenye kutu, imetoka wapi? Begi nalifua kila week end na huwa siweki hela humo na sijawahi kupokea hela mbovu kiasi kile ndani ya wiki hii, wajuvi mnijuze sijawekewa na wenzangu kama chuma ulete au kulostishana jamani.
 
Tatizo laki wewe ni mshirikina au una amini katika ushirikina ndo mana umekua na wasiwasi, kwani shilingi mia mbovu ina tatizo gani be positive bro
Sijawahi kuweka hela, kwenye begi hilo, nikiwa katika harakati za kulifua nikakuta shilingi mia yenye kutu, imetoka wapi? Begi nalifua kila week end na huwa siweki hela humo na sijawahi kupokea hela mbovu kiasi kile ndani ya wiki hii, wajuvi mnijuze sijawekewa na wenzangu kama chuma ulete au kulostishana jamani.
 
Sijawahi kuweka hela, kwenye begi hilo, nikiwa katika harakati za kulifua nikakuta shilingi mia yenye kutu, imetoka wapi? Begi nalifua kila week end na huwa siweki hela humo na sijawahi kupokea hela mbovu kiasi kile ndani ya wiki hii, wajuvi mnijuze sijawekewa na wenzangu kama chuma ulete au kulostishana jamani.
siku nyingine 🤣🤣ukikuta milioni nishirikishe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom