KUDOLE CHA MWISHO
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 410
- 888
Za asubuhi wakuu!!
Kuna hii nimekuta mahali ya huyu MO dewiji
Kuna hii nimekuta mahali ya huyu MO dewiji
Huyo ni shreeAu ni sunii
wewe huwa unahudhuria misiba ya wahindi wenzake?.....msingi wa ubaguzi wake uko hapo. Ni ukweli ambao wengi mtaupinga kwa ujinga wenu.
1.Tenda Wema wende zakoKwa sasa tangu msiba yupo nchini Marekani lkn ni kawaida ndg huyu kutohudhuria misibani ila uwanjani hakosi,
Lakini pia hawa ndg zetu wenye ngoz nyeupe ( Manji,Bakhresa,Azim,Rostam,n.k)ni ngumu sana kuona/kusikia wapo misibani hususani hii ya ngozi nyeusi.
Lakini pia huyu MO hata kutoa pole tu japo kwa kupost tu imekuwa tu shida lakini kipindi kile anagombea ubunge na kusimama kutusalimia alikuwa anasimama ila Leo hana shida tena, hata kuamgalia wafanyabiashara wenzake imekuwa taabu , ila tusilaumu hatujui shida iko WAP labda pengine masharti.
Unaweza kuwapa faraja wafiwa zaidi hata ya wale waliofika.Lakin hakunaga maana sana kufka msibani zaidi ya kuongeza gharama na kuleta jamu
1.Tenda Wema wende zako
2.Lengo la kwenda msibani ni kutoa faraja kwa wafiwa. Je kama katoa bila kuitaji mambo ya public
3.
4.
5.
Suala muhimu si kwenda suala muhimu. "Je wafiwa wamepata salamu za rambirambi kutoka kwake"Yule ni public figure hawezi kwenda ikawa siri nilifuatilia matangazo kwa njia ya TV niliwaona watu maarufu , na naamini angekuepo kamera ingemmulika
Huyu ni muhindi au Mtanzania..wewe huwa unahudhuria misiba ya wahindi wenzake?.....msingi wa ubaguzi wake uko hapo. Ni ukweli ambao wengi mtaupinga kwa ujinga wenu.