Nimekuta mahali imenigusa sana!

KUDOLE CHA MWISHO

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
410
888
Za asubuhi wakuu!!

Kuna hii nimekuta mahali ya huyu MO dewiji
Screenshot_20190510-111438.jpeg
 
Kwa sasa tangu msiba yupo nchini Marekani lkn ni kawaida ndg huyu kutohudhuria misibani ila uwanjani hakosi,

Lakini pia hawa ndg zetu wenye ngoz nyeupe ( Manji,Bakhresa,Azim,Rostam,n.k)ni ngumu sana kuona/kusikia wapo misibani hususani hii ya ngozi nyeusi.

Lakini pia huyu MO hata kutoa pole tu japo kwa kupost tu imekuwa tu shida lakini kipindi kile anagombea ubunge na kusimama kutusalimia alikuwa anasimama ila Leo hana shida tena, hata kuamgalia wafanyabiashara wenzake imekuwa taabu , ila tusilaumu hatujui shida iko WAP labda pengine masharti.
 
Mnataka wawe ndugu zenu kwa misingi ipi...!?

Baba yenu wa taifa alitaifisha nyumba za wazee wao juzi tu hapa mkachekelea wakati wazee wao wanakufa kwa presha

Mnadhani wenzenu wanaakili ya kuku Kama ninyi..!? Ngoja wahujumu uchumi wenu mpaka mtie adabu
 
Kwa sasa tangu msiba yupo nchini Marekani lkn ni kawaida ndg huyu kutohudhuria misibani ila uwanjani hakosi,
Lakini pia hawa ndg zetu wenye ngoz nyeupe ( Manji,Bakhresa,Azim,Rostam,n.k)ni ngumu sana kuona/kusikia wapo misibani hususani hii ya ngozi nyeusi.
Lakini pia huyu MO hata kutoa pole tu japo kwa kupost tu imekuwa tu shida lakini kipindi kile anagombea ubunge na kusimama kutusalimia alikuwa anasimama ila Leo hana shida tena, hata kuamgalia wafanyabiashara wenzake imekuwa taabu , ila tusilaumu hatujui shida iko WAP labda pengine masharti.
1.Tenda Wema wende zako
2.Lengo la kwenda msibani ni kutoa faraja kwa wafiwa. Je kama katoa bila kuitaji mambo ya public
3.
4.
5.
 
Yule ni public figure hawezi kwenda ikawa siri nilifuatilia matangazo kwa njia ya TV niliwaona watu maarufu , na naamini angekuepo kamera ingemmulika

Suala muhimu si kwenda suala muhimu. "Je wafiwa wamepata salamu za rambirambi kutoka kwake"
 
TRY TO THINK WHO WILL CRY WHEN YOU DIE!

TAJIRI NA MALI YAKE, MASIKINI NA WANAE
"UKIONA ZINDUNA AMBALI IKO NYUMA"
 
Unaweza kukumbuka mara ya mwisho hiyo familia ya kina dewji walifiwa lini na nani mtu maarufu mweusi alihudhuria!?? Dewji ni mhindi,na hata akifa leo,utapata bahati tu ya kusikia lkn hutaweza kuhudhuria. Usifikiri hawapati misiba wanapata lkn inawahusu wao. Sasa Kwa nn unataka misiba yenu iwahusu ??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom