Nimekumiss hadi nahisi kuumwa jamani

Long distance, sijui mtu atawezaje kunishawishi niwe na mahusiano virtual...coz kwangu it's merely virtual relationship. Mtu yupo ulaya, nipo arusha then kila siku niumize akili zangu kumuweka moyoni, hell no!
 
Msukuma oyeeee, sio kwa kumissiwa na binamu huku. Pole binamu, ngoja nije nikuungishe samaki usisahau kachachandu
 
Long distance, sijui mtu atawezaje kunishawishi niwe na mahusiano virtual...coz kwangu it's merely virtual relationship. Mtu yupo ulaya, nipo arusha then kila siku niumize akili zangu kumuweka moyoni, hell no!
Brod darlin imetokea leo unatakiwa ukasome nje au wifi anatakiwa akasome nje, what are you going to do?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom