Nimekumbushwa birthday na Vodacom Tz!

Darren2019

JF-Expert Member
Nov 23, 2019
1,111
2,377
Wakuu amani na iwe nanyi, bila kupoteza wakati niende kwenye mada.
Mara nyingi tumekuwa tukishuhudia watu mbalimbali wakiadhimisha siku zao za kuzaliwa kwa kufanya mambo mbalimbali km birthday parties n.k, Binafsi huwa namshukuru tu Mungu na kutafakari mawili matatu ila mwaka huu imekuwa tofauti maana hata tarehe nimekumbushwa na msg ya voda ya kunitakia heri na ofa ya 50MB na dakika!
Wewe huwa unafanya nini siku km hii?
Note: Tutafute pesa ili tufurahie maisha km binadamu wengine, umaskini unakula memory ya ubongo sana.
 
Huwa najifungia ndani nasali kutwa nzima nikimuomba Mungu aniongezee miaka mingine zaidi na zaidi.
 
Heri ya siku ya kuzaliwa mkuu.

Huwa napendelea kufunga na kusali, sema sasa vivuruge ndio havikuachi upumue. Kwanza siku yenyewe hata siikumbukagi huwa nakumbushwa na binti yangu ambae ndio google ya birthday za familia.
 
Back
Top Bottom