Nimekumbuka moja kati ya tabia za watu wa mkoani kwetu Kigoma

BOMBAY

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
4,682
3,391
Habari wakuu,

Leo nimejikuta nakumbuka tabia moja mbaya ya sisi wazawa wa Kigoma dah!!

Nadhani kila mzawa wa Kigoma atakuwa ameipitia hii tabia ambayo kama hajaifanya basi atakuwa kafanyiwa.

Tabia yenyewe ni yakupenda kuwabatiza watu majina kulingana na madhaifu au ulemavu au maumbile na hata kitabia.

UUnakuta mtu anajina lake alilopewa na wazazi wake,mfno anaitwa Hussein.Lakini akiwa mtaani anaunganishiwawa jina lingine ambalo linatokana na tabia yake aumaumbile yake.

Mfano Anaitwa Hussein basi kama ana meno makubwa ataitwa Hussein Meno.vivyo hivyo kama ana kichwa kikubwa ataitwa Hussein kichwa, kama ni kikojozi basi ataitwa Hussein kikojozi.Yani hiyo ni LAZIMA.

Kuna jamaa wa Ujiji alikuwa ana ulemavu wa macho,y ani macho yake yametoka nje(makubwa)ila alikuwa anaona na anafanya kazi zake vzr tu,Alikuwa anaitwa Madua,wanakigoma wakamwita madua macho.

Mwingine alikuwa kipofu kabisa haoni alikuwa anaitwa Salum,wanakigoma wakamwita Salum kipofu.Wapo wengi sana

Hebu share tabia za mkoani kwenu pia tujifunze.
 
Habari wakuu,

Leo nimejikuta nakumbuka tabia moja mbaya ya sisi wazawa wa kigoma dah!!

Nadhani kila mzawa wa kigoma atakuwa ameipitia hii tabia ambayo kama hajaifanya basi atakuwa kafanyiwa.

Tabia yenyewe ni yakupenda kuwabatiza watu majina kulingana na madhaifu au ulemavu au maumbile na hata kitabia.

unakuta mtu anajina lake alilopewa na wazazi wake,mfno anaitwa Hussein.Lakini akiwa mtaani anaunganishiwawa jina lingine ambalo linatokana na tabia yake aumaumbile yake.
Mfano Anaitwa Hussein basi kama ana meno makubwa ataitwa hussein Meno.vivyo hivyo kama ana kichwa kikubwa ataitwa hussein kichwa,kama ni kikojozi basi ataitwa hussein kikojozi.Yani hiyo ni LAZIMA.

Kuna jamaa wa ujiji alaikuwa ana ulemavu wa macho,yani macho yake yametoka nje(makubwa)ila alikuwa anaona na anafanya kazi zake vzr tu,Alikuwa anaitwa Madua,wanakigoma wakamwita madua macho.
Mwingine alikuwa kipofu kabisa haoni alikuwa anaitwa salum,wanakigoma wakamwita salum kipofu.Wapo wengi sana

Hebu share tabia za mkoani kwenu pia tujifunze.

Sent from my HUAWEI CUN-L01 using JamiiForums mobile app
Mshana Jr mchawi
 
Habari wakuu,

Leo nimejikuta nakumbuka tabia moja mbaya ya sisi wazawa wa Kigoma dah!!

Nadhani kila mzawa wa Kigoma atakuwa ameipitia hii tabia ambayo kama hajaifanya basi atakuwa kafanyiwa.

Tabia yenyewe ni yakupenda kuwabatiza watu majina kulingana na madhaifu au ulemavu au maumbile na hata kitabia.

UUnakuta mtu anajina lake alilopewa na wazazi wake,mfno anaitwa Hussein.Lakini akiwa mtaani anaunganishiwawa jina lingine ambalo linatokana na tabia yake aumaumbile yake.

Mfano Anaitwa Hussein basi kama ana meno makubwa ataitwa Hussein Meno.vivyo hivyo kama ana kichwa kikubwa ataitwa Hussein kichwa, kama ni kikojozi basi ataitwa Hussein kikojozi.Yani hiyo ni LAZIMA.

Kuna jamaa wa Ujiji alikuwa ana ulemavu wa macho,y ani macho yake yametoka nje(makubwa)ila alikuwa anaona na anafanya kazi zake vzr tu,Alikuwa anaitwa Madua,wanakigoma wakamwita madua macho.

Mwingine alikuwa kipofu kabisa haoni alikuwa anaitwa Salum,wanakigoma wakamwita Salum kipofu.Wapo wengi sana

Hebu share tabia za mkoani kwenu pia tujifunze.

Sent from my HUAWEI CUN-L01 using JamiiForums mobile app
Naomba ututajie majina ya Baba na Mama Diamond kipindi wako huko Ujiji wanakuwa. Bila kusahau ya Zitto, Chege, Ali Kiba (huyu najuwa jina lake, Mze wa viporo), Diamond, Lunyamila, Yusuph Macho.
 
Back
Top Bottom