nimekuja kuzima giza

He! Jamani Koroboi mbona hata mafuta ya taa gharama....
Mtanzania wa kwaida ataweza kweli 2300/= kwa ltr??

Haya basi karibu....
 
Duh, hivi watu bado wanatumia koroboi hapa mjini?, hebu zima, kisha karibu ndani.
 
Wakuu nimekaribia me ndo koroboi bin mpenda bure ukijilengesha nalenga mafuta yangu aghali
 
Karibu sana koroboi,..........umenikumbusha zamani kidogo kijijini,......nduguzo chemli na karabai wape salamu
 
Sasa umekuja kuzima giza.GIZA UKILIZIMA TENA SI ITAKUWA GIZA squired,hali itakuwa mbaya zaidi
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom