Nimekuja kutangaza vita na Mshana Jr, Mzizi mkavu na wachawi wote wa Jamiiforums

Mshana bado anatumia uchawi wa kizamani, wakwangu ni wa kisasa, robo saa hiishi tunazika mtu.
Kuua sio uchawi, mtu mtata kati yenu aoneshe advataiz la maana. Kama unajidumu kweli hebu fanya mambo MziziMkavu akiamka leo umjalie kifua ndani ya nyumba asijulikane mama nani, baba nani...wote cowbell, hapo nitajua tuna new mastermind in town.
 
Bora Mshana wa kwake wa kidhungu huyo Mzizi usipime utakauka kabla ya kumgusa.

Sasa haya madodoki ya nini hapa? Watu wamejipanga, hivi unamjua Mshana Jr au unamsikia tu, chezea pengine, wewee!

nadhani mshana jr anajipanga sipati picha akija hapa na makombora yake

Mshana bado anatumia uchawi wa kizamani, wakwangu ni wa kisasa, robo saa hiishi tunazika mtu.
 
Hivi kwa maarifa ya hawa jamaa unawezaje kuwatania tania ,ila nauhakika na wewe ni mbabe shikamoo mkuu
 
Back
Top Bottom