nimekuja kuelimishwa

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,034
28,201
member wa jf naomba kujitambulisha kuwa mimi ni mtu mzima ninayehitaji elimu ya uzeeni.naomba kupitia jamvi hili nipate elimu kabla mola hajaniita mbele ya haki.
ELIMU HAINA MWISHO.
 
Karibu unarudia masomo yapi?Lete bankpayslip au cash lipa kwa Jf busar
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom