zumbemkulu
Member
- Dec 6, 2013
- 52
- 5
Kwa hali inavyoendelea nchini hasa hali ya kisiasa nakiri kwa nafsi na maandiko kuwa chama cha siasa kilichokizi vigezo ni chama cha mapinduzi (CCM) pekee na vingine ni vyama vya wanaharakati na wachumia matumbo ambaokwao siasa ni sehemu ya biashara ya kuendeshea maisha yao.,na katika hili nadhan hakuna mwanajamvi atakayenipinga.
Naomba wanajamvi waje tujadili ni sifa zipi zq chama cha siasa na kwanini CCM ndicho chama pekee cha siasa hapa nchini.
Naomba wanajamvi waje tujadili ni sifa zipi zq chama cha siasa na kwanini CCM ndicho chama pekee cha siasa hapa nchini.