Nimekubali katiba mpya muhimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimekubali katiba mpya muhimu

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by RICHARD E. M., Jan 13, 2011.

 1. R

  RICHARD E. M. New Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati wengi walipokuwa wanazungumzia uundwaji wa katiba mpya sikuwa nimetambua ni kwa sababu gani lakini sasa nimeona ina umuhimu mkubwa kwani japokuwa sikuwa nimezaliwa wakati katiba iliyopo ikiundwa nimeeelezwa kuwa ilipitishwa kwa dakika kumi bungeni????hivi kweli jambo lenye maslahi kwa nchi nzima ni la kufanyiwa masihara kiasi hicho.hilo la kwanza la pili ni tumeigia katika mfumo wa vyama vigi lakini katiba bado ni ya mfumo wa chama kimoja...hii si haki hata kidogo ni lazima pafanyike uundwaji wa katiba mpya wenye tija na maslahi kwa watanzania wote na isiwe ni viini macho.nawasalimu wanachama wote wa jf mimi ni mwanachama mpya
   
Loading...