Nimekua najiuliza mbona kuna ID nyingi mpya kumbe semester ya 2,4,6,8na 10 zimeshaisha

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Napenda kuchukua nafasi hii kuwakaribisha Graduates wote JamiiForums hapa ndiyo Home of Great Thinkers pia napenda kuwakaribisha wana UDOM kwa kipekee zaidi msijikie kama mko Dodoma.

Pia katika mda huu mtumie kujifunza sheria za humu! Wengi mmeanza kwa matusi nashauri mjifunze na msifananishe JamiiForums na Facebook maisha yako tofauti sana hapa pia mtapata nasaha za wazoefu hapa chini kwenye Comments JamiiForums is GOAT in Tanzania.

Wishing you all the best
 
Pia Kuna wadada wanaonekana mabinti humu ukifanya appointment ukakutana naye ndo unaanza kumsalimia Shikamoo Shangazi
 
Back
Top Bottom