Nimekua mtumwa kwa mwanamke mwenye makalio makubwa

Nadhani kukosa majukumu nako pia kuna changia,ivi kweli uko busy na maisha unaweza kupoteza mda ukaanza kufikiria au kulemaa akili kwa mda kisa Makalio makubwa? huyo shetani pia anakushangaa unavyo mzushia, hilo balaa lako mwenyewe..
 
Hii ni to much sasa nahisi naelekea kubaya maana kila nimwonapo mwanamke mwenye wowowo nachanganyikiwa, kiasi nafirisika kiuchumi hadi kiakili, sametime hadi naweza tafuta sehemu nikaenda kulivutia hisia na kulipigia punyeto, nashindwa kuelewa huu ni ugonjwa au nimelogezewa au shetani gani kaniingia.

Nitaachaje huu ugojwa jamani?

View attachment 434490View attachment 434493
Pole! ungejua hawana lolote! for your information you end up frustrated, kimbaumbau ndio jibu
 
Mkuu mimi nikikatiza town tu ni fulu kudata yani nionapo mwanamke mwenye bando la bila kikomo basi mimi nawashaga data fulu japo kwa Wifi na kama hajaweka pass word kwa hiyo hot spot basi ni bien bien
 
Hii ni to much sasa nahisi naelekea kubaya maana kila nimwonapo mwanamke mwenye wowowo nachanganyikiwa, kiasi nafirisika kiuchumi hadi kiakili, sametime hadi naweza tafuta sehemu nikaenda kulivutia hisia na kulipigia punyeto, nashindwa kuelewa huu ni ugonjwa au nimelogezewa au shetani gani kaniingia.

Nitaachaje huu ugojwa jamani?

View attachment 434490View attachment 434493
kipenda roho ula nyama mbichi:D:D;);)
 
Back
Top Bottom