Nimekua addicted na kamari naomba kusaidiwa kuacha

DR SANTOS

JF-Expert Member
Mar 11, 2019
10,511
21,390
Habari wanajamvi,

Poleni na msiba wa mr president, tuliumbwa na mungu na mavumbini tutarudi.
Niende moja kwa moja kwenye mada
Nimeanza kucheza michezo ya kubahatisha (betting)
Muda mrefu sana ambayl naweza ita kamari kwa upande mwingine.

Hatua niliyofikia kwa sasa ni mbaya wakuu:
1: Nikipata hela kubwa nafikiria kamari hasa spin and win, black jack na roulette wale wa cassino watakua wanaijua hio michezo.

2: Nisipocheza kamari sisikii raha kabisa

3: Ni shinda nafurahi.

4: Nikiliwa pia kuna muda nafurahi.

5: Pesa hazikai mfukoni kabisa.

6: Imani inakua kubwa sana kwamba nitatoboa lakini nilishaona naelekea kwenye umasikini.

7: Nikiweka kwa simu nitacheza live cassino.

Napata shida sana wakuu naombeni ushauri wa kuachana na masuala ya kamari mimi ni kijana ambaye napambana sana lakini jitihada zangu zinakwamishwa na betting.

Nawasilisha!

Screenshot_20210319-213839_Opera%20Mini.jpg
 
Pole sana mkubwa

Nilikua mhanga mkubwa wa huo ushenzi.

Kipindi nacheza nilikua na uhakika wa kupata 5m per month na zote zilikua zinapigwa.

Mara ya mwisho nilisababisha hasara ya 24m na cashier kufukuzwa na huo ndio ukawa mwisho wangu

Japo ndani ya siku 3 kabla ya hiyo saga nilikua nimepata upepo nikala 17m.

Nashukuru nimeacha nina amani.

Mara Mia ucheze roulette hiyo spine win kaka ni zaidi ya hatari.

Black Jack nzuri kama utacheza pesa ndogo kama kujifurahisha.

Kazi ngumu sana kuiacha.
 
View attachment 1729610
Mkabizi mkeo hizo ela mbona utaacha tu
 
Mwamini mkeo na ukipata pesa mkabidhi yote. Kisha ukitaka kununua kitu mwambie akakununulie akuletee hata kama ni bia usiende baa na hela wewe akusindikize mkeo.

Ukimudu kufikisha pesa hom basi kuacha kuko karibu. Nawasilisha
 
Katika kamari ni Roulette peke yake inayoweza kukupatia pesa mara kwa mara. Ukiijulia "Roulette" wala hautakaa ujutie.
Lakini ikiwa umefikia mahali huwezi tena kujimiliki na kujizuia basi tafuta kitu kingine cha kufanya ambacho kitakuzuia wewe kucheza kamari.
 
Pole sana mkuu, njia mojawapo ni kudiss hiyo michezo mbele za watu... Unapoona watu wanacheza kamali wadiss kwa nguvu zote kwamba kamali ni utoto na hakuna watakachopata zaidi ya kupoteza muda, hii itakusaidia wewe kujisikia aibu pindi ukiwa na wacheza kamali wenzio.
 
aseeee hii mi michezo isikie tu yaani nimecheza sana hilo spin, keno, farasi lakini wapi mazee, mpira naweka mpaka laki 2 saa nyingine laki, ila nimepata milioni 3.2 kwenye keno na still sijafanya nayo la maana.

sitakaa nisahau nililiwa laki 6 kwenye spin la premier ndani ya masaa 3. ila unakula saa ingine yule cashier naye unamla papuchi, asee kuna mmoja nimemla sana. ila haya makitu nikuamua kuacha kufanya mambo mengine kuwa bize tu.
 
Pole sana mkubwa

Nilikua mhanga mkubwa wa huo ushenzi.

Kipindi nacheza nilikua na uhakika wa kupata 5m per month na zote zilikua zinapigwa.

Mara ya mwisho nilisababisha hasara ya 24m na cashier kufukuzwa na huo ndio ukawa mwisho wangu

Japo ndani ya siku 3 kabla ya hiyo saga nilikua nimepata upepo nikala 17m.

Nashukuru nimeacha nina amani.

Mara Mia ucheze roulette hiyo spine win kaka ni zaidi ya hatari.

Black Jack nzuri kama utacheza pesa ndogo kama kujifurahisha.

Kazi ngumu sana kuiacha.
Mkuu spin inanifilisi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom