Nimekoswa kupigwa ndani ya gari Eti mimi ni mwizi

Umewahi kuibiwa? Inaelekea hujui hawa washenzi wanavyorudisha nyuma maendeleo ya mtu!
mkuu nimewahi visa viwili vitatu kuna watu walipigwa hadi walikufa lakini kumbe walikuwa wanasingiziwa , wivu wa kiapenzi n.k
inauma sana mkuu kujikuta umeshiriki kummuua uliyedhania ni mwzi lakini kumbe sio
 
pole sana! huyo jamaa huenda yeye ndio alikuwa mwizi,alikuwa anatafuta jinsi ya kushauti,elfu tano yangu mbona siioni hapohapo ndipo mziki ungeanzia
 
Hiyo ilinitokea Arusha stand,wajamaa wawili wakisema mimi ni mwizi wa pikipiki na hata siwajui kabisa na kunijazia watu,ila watu wakawa hawana mashaka na mimi kutokana na wale watu walivyo na mangeu. Kwa bahati nzuri nikaiona gari ya ndugu yangu inayosafiri DAR-ARS ndio wakaniona pale na kuwachukua wale wezi hadi police. Pole sana ndugu yangu,mambo kama haya huwakuta wasio na usafiri.
 
Ndugu zanguni.
Jioni hii niilikuwa nimetoka naenda tandale kinunua mchele kwa ajili ya matumizi ya kula mwezi kama ujuavyo sisi tulioanza maisha ya getto na ninajipikia.

Nimepanda gari afrikasana kwa bahati mbaya gari ilijaa kwa hiyo nlisimama.Sasa nimefika maeneo ya madukani nikawa nachukua hela yangu mfukoni sh 5000 niiweke tayari kwa kumpa kondakat mapema.Sasa wakati nachukua jamaa pembeni yangu tuliosimama wote akaanza kusema endelea....endelea ikabidi nimwulize niendelee nini mdugu akajibu kuiba!!!!

Dah.....ikabidi nimwangalie we ndugu vipi? akajibu endelea tu....

kiukweli akili akichanganyikiwa palepale ikabidi nizidi kushangaaa na kuishiwa nguvu

jamaa akasema we ni mwizi ulitaka kuniibia tena kwa sauti watu wote kunishangaa

kiukweli akili ikahama nashukuru mama mmja mwenye hekima zake akasema mwanangu shukia hapahapa kwani sidhani kama huyu mtu anachokiongea ni kweli. ikanibidi nishuke bhakresa.

lakini bado roho angu ni nzito na nlichomwambia kabla sijashuka nilimwambia Umwombe Mungu wako Msamaha kwa kosa la kusingizia.
Nineghairi hata kwenda nimepanda gari kurudi home kijitonyama nibakokaa.

Namshukuru Mungu pia kwa juniepusha na mauti isiyo yangu.
Mpendwa Ungelikuwa marehemu !! Lakini you are the WINNER ... yule mama alitumwa na Mungu!! uamuzi uliochukua 100% mzuri.
 
Ndugu zanguni.
Jioni hii niilikuwa nimetoka naenda tandale kinunua mchele kwa ajili ya matumizi ya kula mwezi kama ujuavyo sisi tulioanza maisha ya getto na ninajipikia.

Nimepanda gari afrikasana kwa bahati mbaya gari ilijaa kwa hiyo nlisimama.Sasa nimefika maeneo ya madukani nikawa nachukua hela yangu mfukoni sh 5000 niiweke tayari kwa kumpa kondakat mapema.Sasa wakati nachukua jamaa pembeni yangu tuliosimama wote akaanza kusema endelea....endelea ikabidi nimwulize niendelee nini mdugu akajibu kuiba!!!!

Dah.....ikabidi nimwangalie we ndugu vipi? akajibu endelea tu....

kiukweli akili akichanganyikiwa palepale ikabidi nizidi kushangaaa na kuishiwa nguvu

jamaa akasema we ni mwizi ulitaka kuniibia tena kwa sauti watu wote kunishangaa

kiukweli akili ikahama nashukuru mama mmja mwenye hekima zake akasema mwanangu shukia hapahapa kwani sidhani kama huyu mtu anachokiongea ni kweli. ikanibidi nishuke bhakresa.

lakini bado roho angu ni nzito na nlichomwambia kabla sijashuka nilimwambia Umwombe Mungu wako Msamaha kwa kosa la kusingizia.
Nineghairi hata kwenda nimepanda gari kurudi home kijitonyama nibakokaa.

Namshukuru Mungu pia kwa juniepusha na mauti isiyo yangu.

Mkuu pole sana. Jambo moja ambalo ningependa kuwashauri watu kwa ujumla, ni kwamba Waingereza wana msemo usemao "unaweza kumtambua mtu ni nani kwa mavazi aliyo nayo". Sijui Mkuu ulikuwa umevaliaje, lakini kama ndio hizi vaa za siku hizi, suruali kiunoni na imechanika si kwa kuisha bali kwa namna ya design, t-shirt yenye michoro na imekatwa kuonyesha tatoo zako, na nywele ule mtindo unaofanya watu wahisi unavuta sigara kubwa, basi ni rahisi sana kupigwa kwa kushukiwa kuwa wewe ni kibaka.

Hata kina dada, kuna nguo ambazo ukivaa hata kama wewe si changu watu watadhani una biashara mwilini.

Hivyo ndugu zanguni, tujenge ustaarabu wa kuvaa kistaarabu, ili hata mtu akitaka kukusingizia anajiuliza mara mbili, au watu kabla ya kukuvamia na kukupiga wanajiuliza kama ni kweli wewe mwizi au unasingiziwa. Kuvaa vizuri na nadhibu sio lazima ukanunue nguo za lebo mtaa wa Samora. Hata kwa Chingas utazipata.
 
Pole sana na umshukuru Mungu kwa kutoka salama.

Kwa Dar es Salaam jinsi ilivyo, watu wakisikia mwizi huwa hawaulizi, wao huangalia ni nani anayeitiwa hivyo na kuanza kumuadhibu.

Kwa kuwa gari lilijaza sana, yawezekana kabisa wakati unatoa pesa labda ulimgusa mifukoni mwake kwa bahati mbaya. Na yeye akahisi hilo alilolihisi hasa ukizingatia historia ya hiyo njia mliyokuwa mnapita.
 
Ulitakiwa umlime makonde, vifuti na vichwa vya kutoshaa adi aombee msamaha!
eeeheee ndiyo hivyo ili kum hadabisha kidogo, la sivyo ataendelea na na hiyo tabia ya kusingizia watu
 
tukiwa Mwaka wa pili chuo, kuna jamaa alikua na laptop aina ya apple, ndo kipindi iko, zinaingia nchini, kila mtu anaitolea macho, sasa jamaa kipindi cha kufanya field akawa anaenda nayo ofisini, kumbe kuna jamaa wamemtamani,
wakafanya mbinu zote lakini wapi, wakati anatoka ofisini jamaa wakawa wanamfata nyuma, akawastukia ikabidi akimbie kuelekea kwenye watu ili apate msaada, si ndio jamaa wakapiga kelele mwiziii eti wameibiwa laptop? Dogo watu walimpiga mbaya japokua laptop niyake ... kwa bahati mbaya kufika muhimbili Mungu akawa amemchukua ..
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa apa nani ananiibiaga password na kunianzishia thred zenye kutia uchimvi wkt mie sipo????..... Invisible we endelea....mmmh endelea kihonestly mie hio endelea nilifikiria ni ngono inasemwa hapo...majanga yangekufika ndugu bora ulishuka
 
Last edited by a moderator:
Habari hii inanikumbusha nilitaka kupigwa Moshi katika Guest Moja hivi...

Asubuhi niliamka sina hili wa lile, naenda kazini kumbe mlinzi masai kauza info kwa mume wa mwanamke ambaye alilala hapo na kidume kingine. Basi wakati natoka mlangoni mbele yangu alitangulia huyo bint...Ile natoka tu mume wake aliyekuwa amejificha akaja kwa kasi na kuanza kunishambulia kuwa amefumania..Binafsi nilidhani tapeli au mwizi anataka kuniibia.. Wakati tunashikana mashati.. Mlinzi masai akatokea na kumwambia jamaa kuwa sio mimi... kwani mwizi wa mke wake alilala chumba namba 6 nami namba 11... wakati tunaachana na jamaa tayari shati langu lishachanika na watu wameshajaa...
 
Inatokeaga hivi mkibanana uneza ukaingiza mkono mfukoni kwa mwenzako ikiwa position moja..
 
Ndugu zanguni.
Jioni hii niilikuwa nimetoka naenda tandale kinunua mchele kwa ajili ya matumizi ya kula mwezi kama ujuavyo sisi tulioanza maisha ya getto na ninajipikia.

Nimepanda gari afrikasana kwa bahati mbaya gari ilijaa kwa hiyo nlisimama.Sasa nimefika maeneo ya madukani nikawa nachukua hela yangu mfukoni sh 5000 niiweke tayari kwa kumpa kondakat mapema.Sasa wakati nachukua jamaa pembeni yangu tuliosimama wote akaanza kusema endelea....endelea ikabidi nimwulize niendelee nini mdugu akajibu kuiba!!!!

Dah.....ikabidi nimwangalie we ndugu vipi? akajibu endelea tu....

kiukweli akili akichanganyikiwa palepale ikabidi nizidi kushangaaa na kuishiwa nguvu

jamaa akasema we ni mwizi ulitaka kuniibia tena kwa sauti watu wote kunishangaa

kiukweli akili ikahama nashukuru mama mmja mwenye hekima zake akasema mwanangu shukia hapahapa kwani sidhani kama huyu mtu anachokiongea ni kweli. ikanibidi nishuke bhakresa.

lakini bado roho angu ni nzito na nlichomwambia kabla sijashuka nilimwambia Umwombe Mungu wako Msamaha kwa kosa la kusingizia.
Nineghairi hata kwenda nimepanda gari kurudi home kijitonyama nibakokaa.

Namshukuru Mungu pia kwa juniepusha na mauti isiyo yangu.
kwa hali kama hii,kusingiziwa nje nje....
p6100185.jpg
 
Maskin, pole sana.

Yaelekea huyo jamaa ndo mwizi, alikua anataka kukuuibia wewe kiaina. Na bora ata ulivoshuka.
kwewe bila shaka ni wakike. Jf kuna watu wanajifanya wa kike lkn sio wewe. Naomba usiniulize kwa nini nasema wewe ni /ke
 
Inaonekana hata muonekano wako umekaa "kiwiziwizi" ndo maana jamaa kakususpect fasta! Hebu tupia pic mkuu!
 
Ndugu zanguni.
Jioni hii niilikuwa nimetoka naenda tandale kinunua mchele kwa ajili ya matumizi ya kula mwezi kama ujuavyo sisi tulioanza maisha ya getto na ninajipikia.

Nimepanda gari afrikasana kwa bahati mbaya gari ilijaa kwa hiyo nlisimama.Sasa nimefika maeneo ya madukani nikawa nachukua hela yangu mfukoni sh 5000 niiweke tayari kwa kumpa kondakat mapema.Sasa wakati nachukua jamaa pembeni yangu tuliosimama wote akaanza kusema endelea....endelea ikabidi nimwulize niendelee nini mdugu akajibu kuiba!!!!

Dah.....ikabidi nimwangalie we ndugu vipi? akajibu endelea tu....

kiukweli akili akichanganyikiwa palepale ikabidi nizidi kushangaaa na kuishiwa nguvu

jamaa akasema we ni mwizi ulitaka kuniibia tena kwa sauti watu wote kunishangaa

kiukweli akili ikahama nashukuru mama mmja mwenye hekima zake akasema mwanangu shukia hapahapa kwani sidhani kama huyu mtu anachokiongea ni kweli. ikanibidi nishuke bhakresa.

lakini bado roho angu ni nzito na nlichomwambia kabla sijashuka nilimwambia Umwombe Mungu wako Msamaha kwa kosa la kusingizia.
Nineghairi hata kwenda nimepanda gari kurudi home kijitonyama nibakokaa.

Namshukuru Mungu pia kwa juniepusha na mauti isiyo yangu.

Pole ndugu,Ndio uwaambie wananchi mchezo wa kujichukulia sheria mkononi haufai! Sasa pale angekuitia mwizi! Na wewe pia ukikuta mtu anakula kichapo usishabikie eti "uaaaa" "wamezoea" Mshukuru Mungu wako!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom