Nimekoswa koswa kuibiwa kwenye tigo Pesa leo

huwezi kukosea na kujitukana
lazima unajua unachofanya....

Mkuu, kuna njia nyingi za kufungia mwaka.
Duh! Mimi ndio nilienda mkenge kabisa na hiyo title,
badala ya kuisoma "nimeibiwa" niliona "nimeliwa" tiGo.
 
haaaaa kwanini usingeenda pahali husika ili
wakomeshwe wapuuzi saaana hawa
tena hiyo sehem ya tigo pesa inabidi
uiripoti coz inaelekea wanakula commission hao

jinga zao

Leo nimenusurika kuibiwa kwenye akount yangu ya tigo pesa.
Mkasa wenyewe ulikuwa kama ifuatavyo nilikuwa nataka kutoa pesa kwenye akaunti yangu ya tigo pesa.Nilifuata process zote na mpaka nikatumiwa msg kuwa huduma yangu imefanikiwa.
Chaajabu wakala akadai kuwa msg kwake haija ingia hivyo nisubiri masage iingie kwake ndiyo anipe fedha nilisubiri kama saa zima ikawa kimya nikapiga simu costormer care kama kawaida yao hawakupokea.Chaajabu yule wakala alinipa namba ya simu akasema akasema ni namba ya tigo pesa coster care namba yenyewe ni 0714 767738 nikampigia akapokea dada 1 akanizingua sana akasema nimtajie namba yangu ya sim na niiache hewan nilikaa hewan kama nusu saa na zaid nikampa wakala akaongea nae akajifanya sijui anamtajia namba.
Kiukweli na haraka haraka hawa jamaa ni wezi wa kutupwa mnaotumia huduma hii kuweni makini sana na hawa mawakala wao ni wezi wa kutupwa.

Kingine inamana hao tigo wana namba ngapi za costormer care???

Mmenikosa wezi wakubwa nyie.
 
hapa ndo naweza kuchangia maana mda mle heading ilinichanganya anyway pole sana ila mshukuru Mungu
 
Tigo customer service yao mbovu haina msaada wowote bora mpesa at least wanakupokea ingawa wanaharaka sana wahudumu wao
 
Tigo-Pesa ni majizi, mara mbili wamemwibia mtu wa karibu yangu Pesa ambazo nilituma mimi mwenyewe. Iko siku watajutia ujinga wao!
 
mimi washaniibia mara 3 kuongeza salio kwa njia ya nmb mobile,tigo majambazi
 
Leo nimenusurika kuibiwa kwenye akount yangu ya tigo pesa.
Mkasa wenyewe ulikuwa kama ifuatavyo nilikuwa nataka kutoa pesa kwenye akaunti yangu ya tigo pesa.Nilifuata process zote na mpaka nikatumiwa msg kuwa huduma yangu imefanikiwa.
Chaajabu wakala akadai kuwa msg kwake haija ingia hivyo nisubiri masage iingie kwake ndiyo anipe fedha nilisubiri kama saa zima ikawa kimya nikapiga simu costormer care kama kawaida yao hawakupokea.Chaajabu yule wakala alinipa namba ya simu akasema akasema ni namba ya tigo pesa coster care namba yenyewe ni 0714 767738 nikampigia akapokea dada 1 akanizingua sana akasema nimtajie namba yangu ya sim na niiache hewan nilikaa hewan kama nusu saa na zaid nikampa wakala akaongea nae akajifanya sijui anamtajia namba.
Kiukweli na haraka haraka hawa jamaa ni wezi wa kutupwa mnaotumia huduma hii kuweni makini sana na hawa mawakala wao ni wezi wa kutupwa.

Kingine inamana hao tigo wana namba ngapi za costormer care???

Mmenikosa wezi wakubwa nyie.

Mbona hujatumalizia mzozo wenyewe? Mwishowe walikupatia hela yako ama iliishia je?
 
Mkuu, kuna njia nyingi za kufungia mwaka.
Duh! Mimi ndio nilienda mkenge kabisa na hiyo title,
badala ya kuisoma "nimeibiwa" niliona "nimeliwa" tiGo.

Wewe umeuanza huu mwaka vibaya kweli
 
haaaaa kwanini usingeenda pahali husika ili
wakomeshwe wapuuzi saaana hawa
tena hiyo sehem ya tigo pesa inabidi
uiripoti coz inaelekea wanakula commission hao

jinga zao

Kweli mkuu embu tujuze ni sehem gani hiyo?
 
Tigo customer service yao mbovu haina msaada wowote bora mpesa at least wanakupokea ingawa wanaharaka sana wahudumu wao

Mimi siwaamini wote wamekaa kiwizi wizi sana
 
Tigo-Pesa ni majizi, mara mbili wamemwibia mtu wa karibu yangu Pesa ambazo nilituma mimi mwenyewe. Iko siku watajutia ujinga wao!

unatakiwa kuchukua hatua kwani husikubali kupoteza jasho lako bure bure kiivyo
 
Kwahiyo wakuu tushauriane katika hili tufanye je kuepuka na wizi huu usiendelee?
 
Dah Pole sana man. sijui inakuwaje.

Then sorry its like we konw each other man, hivi upo mitaa ya mwenge vile au.

Back
Top Bottom