Nimekosea?

yuclighty

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
676
322
Jamani mimi ninarafiki yangu ambaye nilikutana nae sehemu fulani ya kupatia lunch na breakfast. Sasa tumeenda basi akaanza kuonyesha uanaume wake si akaniibukia oooh nakupenda.

But mimi ilo wazo wala halikuwepo kabisa coz nilijua ananizingua tu, sasa siku zinavozidi kwenda nae kasi inazidi. Mh nkajishauri moyoni may be ananipenda kweli si nikaanza kulegeza kamba nami nkaanza kumpenda.

Sasa nilichokuja kuroga ni iki, in short sipendi masiara coz najitambua vizuri sana kuwa mimi ni binti na nataka baadae nisijejuta kuwa kwa nini nilichezea usichana wangu.

Basi siku zikazidi kusoma nami nkamtega kwa kumuuliza unanipenda kweli na akajibu mimi nakupenda nikamjibu asanteh, swali jingine vipi familia haijambo majibu sasa sina familia, mara haijambo nikajisemea iyo moja, nikauliza tena nkajibiwa mama na mtoto walifaliki, sichoki tu, siku moja katika maongezi (kuchat) akanichokoza kwa kuniuliza penzi utanipa lini?

Mie nikamjibu wewe unataka lini? Itaendelea dolegumba linauma!
 
Wewe ndiyo kweli unajiita eti unajitambua,haya bwana kweli kama na wewe unajiweka kwenye kundi la wanaojitambua basi wanaojitambua nchi hii hawapo tena
 
Back
Top Bottom