Nimekosea wapi kumwambia ukweli Mwanafuzi huyu?

odamae

Senior Member
Nov 5, 2020
163
291
Kuna mwanafunzi nasomanae ana akili sana! Sasa mwaka huu amejiingiza sana kwenye makundi. Kuna kundi ambalo wenyewe hawawezi kuingia bila chabo kwenye chumba cha mtihani.

Leo nimemkumbuka tu nimempigia simu kumuulizia matokeo yake kwakweli max alizonitajia ameshuka mimi nimeamua kumchana live kuwa yeye ana akili Ila makundi yanamponza sababu hasomi anategemea chabo tu kuingianayo kwenye mtihani.

Ila sijamwambia kuhusu mambo ya chabo nimemwambia tu wewe una akili sana ila makundi yanakuharibu nimekosea wapi jamani mana watu walionizunguka wananiambia nimefanya vibaya kumwambia ningemwacha tu.
 
Fanya mambo yako chief maana we mwenyewe unamapungufu. Jtahd ufatlie maisha matokeo ya m2 ya nini na ushaur kashauri wanaokuhusu mwisho wa siku utakuja kuonekana mmbea tu
 
Kuna mwanafunzi nasomanae ana akili sana! Sasa mwaka huu amejiingiza sana kwenye makundi. Kuna kundi ambalo wenyewe hawawezi kuingia bila chabo kwenye chumba cha mtihani.

Leo nimemkumbuka tu nimempigia simu kumuulizia matokeo yake kwakweli max alizonitajia ameshuka mimi nimeamua kumchana live kuwa yeye ana akili Ila makundi yanamponza sababu hasomi anategemea chabo tu kuingianayo kwenye mtihani.

Ila sijamwambia kuhusu mambo ya chabo nimemwambia tu wewe una akili sana ila makundi yanakuharibu nimekosea wapi jamani mana watu walionizunguka wananiambia nimefanya vibaya kumwambia ningemwacha tu.
Kila mtu ana naisha yake
 
Kama unammudu we mchane tu ukweli, kwa maneno yako huenda ikawa sababu ya kujitafakari na kurudi kwenye mstari.
 
Rafiki mnasoma form ngapi au ni chuo matokeo ya test 1 & 2 kwani course work haijatimia?.

Ila kama ni chuo bora ata apige iyo chabo apate na GPA kubwa kabisa akawe na Tutor apige vihela kuliko aje huku mtaani kusikilizia.

Mkuu chuo poga chabo hata kila mtihani haia madhara kwako laabda mlaji wa taaluma yako ila WTF we piga chabo kila kitu adi Quiz wewe piga chabo tu.

Utakuja nishukuru ukiwa mtaani.
 
Back
Top Bottom