Nimekosana na mtu: Namuota amekufa

Mtuache

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
251
634
Habari za asubuhi wana jamvi

Ngoja niende moja kwa moja kwenye point. Kuna mtu nimekosana nae yapata miezi miwili sasa. Lakini hivi karibuni nimepata sintofahamu nyingi baada ya kumuotea ndoto za ajabu.

Ni mtu wangu wa karibu, kukosana kupo sisi ni binadamu. Ila hizi ndoto zinaniogopesha kidogo.

Kwa mfululizo nimemuota huyo mtu amekufa, yaani una muota mtu amekufa leo. Unalala tena kesho yake una muota huyo huyo mtu amekufa, kesho yake tena na tena kwa mfululizo wa kama siku nne hivi kama si tano.

Hii ina maanisha nini? Au ni ndoto tu za kawaida?

Nawasilisha.
 
Unamuwaziaa sana ndio maanaa.na inaonekanaa una kinyongo nae .
 
I fukcing dream of a lot of reality mpaka wakati mwingine naogopa kulala kabla ya kupiga alcohol.

Mengine ni maono ,naona mengi ya present na future.

Pole sana aseeeh
 
Bila Shaka una element za kichawi

Au ni mtu wa sumbawanga
1684320116854.jpg
 
Fungua moyo ndugu jishushe patana nae maana akifa hutopata amani ya moyo. .
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom