Nimekosa vitamani gani

chezo

Senior Member
Oct 19, 2012
192
314
Kupauka mwili na mdomo|lips ni upungu wa kinga vitamin gani mwilini jinsia yangu ni MEE
 
Badilisha kwanza title kaka.... andika vitamin sio vitamani. Ili watu waje humu
 
Kupauka mwili na mdomo|lips ni upungu wa kinga vitamin gani mwilini jinsia yangu ni MEE

Chezo una upungufu wa vutamini C na E kwa uelewa wangu wa Sayansi Kimu. Ila kama utakula kwa wingi mboga na matunda na kunywa maji mengi at least lita mbili kwa siku basi ukiisha mwezi utakuja kutoa ushuhuda hapa
 
aina za vitamini sizijui ila kula sana matunda na maji mengi kwa sana.
 
usiwe mvivu kuoga na kupaka mafuta...tatzo likipersist kna watu wameaomea hayo mambo waone mkuu
 
asante kwa ushauri wenu kuanzia kesho ni supu ya tembelee na kunywa maji mengi kama wengi mlivyoshauri, suala la kuoga sio kweli naoga sana kwa siku mara mbili yaan asubuhi na jioni muda wa kulala.
 
Kunywa maji ya kutosha mpaka, mkojo uwe colorless - hauna rangi ya njano.
 
Back
Top Bottom