mama mtarajiwa
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 290
- 449
Ninaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Endelea kulia. Siku ukijitambua utanyamaza na utaanza kutongoza unaowapenda ama utaanza kuwakubalia usiowapenda.naowapenda siwezi kuwatongoza
wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka nabaki nalia na upweke
Mficha maradhi kifo umuumbua.naowapenda siwezi kuwatongoza
wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka nabaki nalia na upweke
mimi ni mwanamkeEndelea kulia. Siku ukijitambua utanyamaza na utaanza kutongoza unaowapenda ama utaanza kuwakubalia usiowapenda.
nina miaka 35
sina watoto sijawai kuzaa najiheshimu sana sikupenda kuzaa nje ya ndoaTaja na idadi ya watoto ulionao,
nifanyeje mimi mwenzenu?binti kuwa na mitego ya kumvuta mwanaume umtakaye acha kulia... halafu wanaokupenda ndiyo wazuri utajifunza kumpenda .. unayempenda atakusumua mnoo
kwanini afe?Yaani nyie ndo mkipataga ndoa, lazima mwanaume afe.... Kwa jinsi mnavyobadilika na kuwa Kama chui vile. We zaa tu.
tatizo MATCHING ITEM au MULTIPLE CHOICE.......?
kwanza mkubali anayekufuata hasa kama anakidhi asilimia 50 ya vigezo vyako.. pili jitegeshe maeneo wanaume unao wataka wanapokaa lazima uingie gharama...nifanyeje mimi mwenzenu?