Nimekosa Kazi na Nimeshindwa Kujiajiri..... !!

zeus

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
213
55
Nimekosa Kazi na Nimeshindwa Kujiajiri.....

pamoja na elimu ya darsani ya chuo bado sijaweza kupata kazi, na mfumo wa elimu niliopitia haujanipa skills za maisha
sio ufundi mbao, nyumba, seremala , nk, kujiajiri inakuwa tabu, badala ya elimu ndefu ya darsani ya miaka saba+nne , kwa nini tusiwekeze kwenye elimu ya ufundi zaidi?
 
Na bodi ya Mikopo inakudai na penalti juu, mchumba kakukimbia kwa sababu huna kibarua, kodi ya nyumba unadaiwa tangu mwezi uliopita, viatu vimechakaa, barua za kuomba kazi 100 umeitwa interview 2 tu nazo mlikuwa 6 mnagombea nafasi moja moja na hela ya kununulia magazeti imeisha. Pole sana Mkuu rudi kijijini ka apply Elimu ya Msingi ya "Kilimo cha Dagaa..... Mbamba Bay, Buni- Bukoba tena aina ya Robusta, Pamba---Maswa Masahariki, Kilimo cha Umeme------Mtera. Au kama vipi kaanzishe kilimo cha Mega Wati unaweza kutoka Mkuu ha ha ha just kidding as you did to us
 
mkuu kama ni practicals nenda VETA..; kama bora mkono huende kinywani basi uza mboga, nyanya, karanga au hata voucher (nina uhakika kuna unskilled jobs za kumwaga) pia ikishindikana kuwa mpiga debe au conductor (sidhani kama hii inahitaji ujuzi...) Sometimes vitabu havikufundishi kuwa street smart.... (only experience and time ndio itakufundisha..)

Back to the Topic..., elimu nyingi ya sasa (sio bongo peke yake..) ni too theoretical na haikufundishi mambo ambayo utakuwa unaya-apply day to day ingawa hizi ni building blocks ambazo zinakusaidia kwenye mambo mengi mengine elimu nyingine utaipata wakati unafanya kazi (on job training)

Babu yangu made it without setting his foot in a classroom; kwahiyo wewe mkuu ambae unajua kwamba balance sheet sio kifaa cha kwenye ndege..., I expect you can do better.... you only need good attitude; desire and persistance.
 
maisha ni malengo.wewe una malengo gani?maisha ni vita.usidharau kazi.unataarifa kuwa genge kwa mtaji wa laki2 unaweza ukawa unaingiza elfu18 kwa siku?kama hujui habari ndo hiyo.mi mwenyewe nauza genge.kwa mda wa mwaka1 niltengeneza magenge mawili.na ninategemea kufungua lingine.sina habari za nyongeza ya mshahara au pay as you earn na ninaishi nitakavyo.j2 jioni utanikuta b bar napata kiti moto na bia ya kilimanjaro baridiiii....!!.mia
 
Ahahahaha.. Maisha ni vita piganaaaaa..wakati unapigana hakuna silaha maalumu unayotakiwa kutumia as long as vita utashinda tumia silaha yoyote....

Hii elimu tunayopata ni moja ya silaha ya kupambana na maisha..inapoonekana haiwezi kukupatia ushindi tumia silaha zozote zilizo-availlable mtaani kama chuma ulete, ukabaji na uporaji, umalaya na ushoga, utapeli na usanii, u-kanjanja na u-magumashi as long as unasongesha mbele siku..full stop..

And the winner issssssssssss........s the one remain standing tall.
 
tatizo hukuandaliwa kupambana na maisha,pia inaonekana sio rahisi kubadilika
 
Mimi naona kazi ipo wazi sema yeye kajiangaisha kusoma hayo mambo yake ambayo hayajamsaidia,kuna mtu namfahamu alikuwa katika same situation ila now anasomesha wadogo zake na anategemewa,yeye alivyoona soko la ajira limekaa mguu nje mguu ndani basi akaapply education chuo cha mtwara na alivyomaliza alifanya kuchagua tu shule ipi,sasa hivi anampango wa kufanya Bs in mathematics......huu ni mfano mmoja katika mingi kwahiyo nafasi bado unayo......PIGA UALIMU.
 
Mimi naona kazi ipo wazi sema yeye kajiangaisha kusoma hayo mambo yake ambayo hayajamsaidia,kuna mtu namfahamu alikuwa katika same situation ila now anasomesha wadogo zake na anategemewa,yeye alivyoona soko la ajira limekaa mguu nje mguu ndani basi akaapply education chuo cha mtwara na alivyomaliza alifanya kuchagua tu shule ipi,sasa hivi anampango wa kufanya Bs in mathematics......huu ni mfano mmoja katika mingi kwahiyo nafasi bado unayo......PIGA UALIMU.


Nope, sio kweli kwamba ni kujihangaisha kusoma mambo ambayo hayasaidiii!, masomo mengi tunayofundishwa sekondari hayakusaidii kuweza kufanya kazi za kiufundi katika jamii, pamoja na kuwa muda unaopoteza sekondari ni muda mwingi. Tatizo lipo kwenye mfumo wa elimu, hii hi situation ambayo watanzania wengi tunayo, being prepared for a white collar job. Tungekuwa na technical education sekondari zote, nafikiri asilimia kubwa ya watu wanomaliza form four wangeweza kujiajiri kazi mbalimbali badala ya kukaa nyumbani na esp kama huna uwezo wa kujilipia elimu ya juu.. Mfumo wa elimu unahitaji ´´upasuaji´´ mkubwa.
 
kaka lakini navyojua mimi Tanzania vyuo vya ufundi na udereva vipo kwahiyo ni chaguo la mtu kwenda badala ya kusoma sekondari kama kweli unapendelea maswala ya fani,ila tatizo lililopo ni kukariri kuwa wengi wanaojifunza ufundi ni watu waliofeli shule...ila kwa wengine wameamua waende na utaratibu wa kufata mfumo huo wa sekondari mpaka chuo na maisha yako poa tu.
 
Teh teh teh teh Hamy D broda jamaaa bora atafute kingne coz hata ualimu hataweza sababu ATAENDA KUKIFUNDISHA NINI HUKO zaidi ya kuwapa mimba ma denti na kujifanya teacher fear ili apate kuwaomba hela wanafunz na kuwa dowea breaktime Lolz!
 
Teh teh teh teh Hamy D broda jamaaa bora atafute kingne coz hata ualimu hataweza sababu ATAENDA KUKIFUNDISHA NINI HUKO zaidi ya kuwapa mimba ma denti na kujifanya teacher fear ili apate kuwaomba hela wanafunz na kuwa dowea breaktime Lolz!

hahaha kaka mbona unataka tuishiwe tena opportunity sasa maana hiyo ya edu ndo yenye nafasi kwa mtu kama yeye mwenye degree au wewe unapendekeza nini???
 
Umeshindwa kujiajiri au umegoma kujiajiri? Ukiamua utaweza. Au ukiona vp omba kuwa volunteer watakupa kazi
 
Back
Top Bottom