Nimekosa England vs Venezuela sababu ya TANESCO

Wale vijana wa England ni shida sana
Kuna dogo mmoja anaitwa lookman,solanke na wengine
Timu imejaa vipaji
 
Wale vijana wa England ni shida sana
Kuna dogo mmoja anaitwa lookman,solanke na wengine
Timu imejaa vipaji
future ya England Ni nzuri wanakwea kileleni
wananikumbusha kikosi cha vijana akina Steven gerald,Owen,beckam, scholes nk walimpiga mjerumani 5-1 mjini Munich kwenye kufuzu world cup .
 
Back
Top Bottom