Nimekopi kule Nikapesti hapa.

SIM

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
1,795
1,300
HAYA NDO YALIYOMKUTA BAADA YA KUOMBA AGEUZWE KUWA MWANAMKE>>

Mwanamume mmoja alimuomba Mungu amjalie ageuke kuwa mwanamke,kwa sababu alihisi mke wake anafaidi kubaki nyumbani wakati yeye anapiga kazi masaa kumi mfululizo.

Mungu hakuwa hiyana,asubuhi alipoamka,akaji -kuta tayari amekuwa mwanamke.

Haraka haraka akamtayarishia'mumewe'chai,ili aende kazini,akaogesh -a watoto,akawapa chai na kuwatayarisha kuwapeleka shule.

Wakati anarudi,akapiti -a sokoni kununua mahitaji ya siku.Kufika nyumbani,akaanz -a kusafisha nyumba na kufua nguo.

Wakati anataka kutayarisha chakula,akagund -ua kuwa umeme umekatwa kwa sababu ya deni,ikabidi atoke mbio kwenda kulipa bili ya stima.

Alipotoka kule,wakati wa kwenda kuwachukua watoto ulishafika,ikab -idi apitie shule. Kufika nyumbani,akaanz -a kutayarisha chakula huku watoto wanamlilia njaa.

Kwa ufupi,hadi kufika wakati wa kulala,bado hakuwa hajamaliza kazi zote,ikambidi aingie kitandani hivyo hivyo.

Kitadani nako hakukuwa na kupumzika.'Mume -'alitaka apewe kidogo,hakumkat -alia.

Lakini baada ya kumaliza tu akamuomba Mungu:"Mungu wangu,nimefanya -makosa,kwani kazi anazo fanya mke wangu ni kubwa kuliko nilivyokuwa nikifikiria.Nao -mba unirejeshe katika hali yangu ya zamani."

"Hakuna taabu kiumbe wangu",Mungu alimjibu na kuendelea,"Ombi -lako nimelikubali, lakini itabidi usubiri miezi tisa kwani jana ulipofanya mapenzi na mume wako,ulishika ujauzito!!"
 
Uvivu kuisoma, maana ni ndefu we c unajua leo weekend kwanini tuchoshane na me thread mirefu
 
yani ni masaa mawili tu mtu unaomba poo kwa mungu
556527_373769946010831_728086517_n.jpg
 
HAYA NDO YALIYOMKUTA BAADA YA KUOMBA AGEUZWE KUWA MWANAMKE>>

Mwanamume mmoja alimuomba Mungu amjalie ageuke kuwa mwanamke,kwa sababu alihisi mke wake anafaidi kubaki nyumbani wakati yeye anapiga kazi masaa kumi mfululizo.

Mungu hakuwa hiyana,asubuhi alipoamka,akaji -kuta tayari amekuwa mwanamke.

Haraka haraka akamtayarishia'mumewe'chai,ili aende kazini,akaogesh -a watoto,akawapa chai na kuwatayarisha kuwapeleka shule.

Wakati anarudi,akapiti -a sokoni kununua mahitaji ya siku.Kufika nyumbani,akaanz -a kusafisha nyumba na kufua nguo.

Wakati anataka kutayarisha chakula,akagund -ua kuwa umeme umekatwa kwa sababu ya deni,ikabidi atoke mbio kwenda kulipa bili ya stima.

Alipotoka kule,wakati wa kwenda kuwachukua watoto ulishafika,ikab -idi apitie shule. Kufika nyumbani,akaanz -a kutayarisha chakula huku watoto wanamlilia njaa.

Kwa ufupi,hadi kufika wakati wa kulala,bado hakuwa hajamaliza kazi zote,ikambidi aingie kitandani hivyo hivyo.

Kitadani nako hakukuwa na kupumzika.'Mume -'alitaka apewe kidogo,hakumkat -alia.

Lakini baada ya kumaliza tu akamuomba Mungu:"Mungu wangu,nimefanya -makosa,kwani kazi anazo fanya mke wangu ni kubwa kuliko nilivyokuwa nikifikiria.Nao -mba unirejeshe katika hali yangu ya zamani."

"Hakuna taabu kiumbe wangu",Mungu alimjibu na kuendelea,"Ombi -lako nimelikubali, lakini itabidi usubiri miezi tisa kwani jana ulipofanya mapenzi na mume wako,ulishika ujauzito!!"
daaaa ebhana eeeh en mbona umezungumzia upande mmoja tuuuu vipi mkewe alivyogeuka kuwa mwanaume yeye anasemaje kwa upande wake au ni siasa tuuu za women empowerment.....eniweiz ni kichekesho kizuri ingawa hakina maaanA :becky::becky:
 
Missing you Madame B! Hukunimisi wewe?

Mie tena nisikumiss wewe mpenzi wangu wa kiukweli ukweli Arushaone!
Nisipokumiss wewe nim miss nani Jamani?
Afu uko off line mda wote!
Whyyyyyyyy..............!!!!!!!!!!!!
:mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom