Nimekapenda sana haka

attachment.php


Ngoja niione kwa karibu zaidi
 
Namchukia sana kinana, hivi alikosa biashara ingine

Thubutu...mh.! Kila mtu kagawiwa kitengo chake bana. Wandovu yupo, Wasembe yupo, Wangozi yupo, Msafirish..sorry Mfugaji yupo, MPIGAJI yupo n.k

cc. Mtambuzi[MENTION]majeshi 1981[/MENTION]
 
Last edited by a moderator:
Kinana mhujumu uchumi namba one

Kinana ni askari jeshi kwa taaluma, sasa mlitaka ujuzi wa kutumia bunduki autumie wapi kama sio msituni? Ujinga na tamaa ya watawala wetu ndio umeifanya nchi yetu ifike hapo ilipofika!!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom