Nimekakumbuka haka kawimbo………jamani enzi hizo……… | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimekakumbuka haka kawimbo………jamani enzi hizo………

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mtambuzi, Oct 13, 2011.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,681
  Likes Received: 950
  Trophy Points: 280
  Sikiliza mama we nikwambie hadithi
  Mikono yangu midogo we siwezi kufanya kazi..
  Lakini Mpenzi mama we nikikuwa mkubwa
  Nitakusaidia we na wewe upumzike…….na wewe upumzikeeeee……
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,749
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  baba nginaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Oct 13, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,240
  Likes Received: 22,869
  Trophy Points: 280
  Namkumbuka Husninyo
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,749
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  wabejhaaa
   
 5. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #5
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,681
  Likes Received: 950
  Trophy Points: 280
  Nimemkumbuka mama yangu bana........ alifariki mwezi kama huu miaka 29 iliyopita..............
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,749
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  dah,pole sana mpendwa.
   
 7. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #7
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,681
  Likes Received: 950
  Trophy Points: 280
  yeah nilishapoa na kusahau, ila leo nimekumbuka huu wimbo, alikuwa ananifundisha nilipokuwa mdogo, mama yangu alikuwa ni mwalimu wa Elimu ya watu wazima enzi hizo................Good memory eh!
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,749
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  gud memory daddy.
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,635
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  heee kumbe in loving memory pole sana mtambuzi..
   
 10. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,417
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 280
  u tek mi bak mtambuzi, huo ni wimbo nilioupenda sana udogoni, nilikuwa nikiuimba karibu nilie! aaah?
   
 11. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11,973
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  Huo wimbo umenikumbusha mbali, when i was still a little boy!
   
Loading...