Nimekabidhiwa trl jana kama new md naomba ushauri

muzachai

Member
Apr 30, 2009
41
16
Habarini wandugu. Jana nilikabidhiwa rasmi TRL kama MD naomba mawazo yenu angalau nianze kuleta profit serikalini ikifika mwakani mwezi wa kumi. Elimu yangu MBA INFORMATICS, PGDBA,ADIT. Working experience in managerial position ni five years. Umri wangu ni miaka 30. uraia ni mtanzania na mtoto wa mkulima.
Mambo ambayo nimepania kuyafanya ni kustudy sytem au company hii kwa muda wa miezi mitatu nikifanya observation , questionaires kwa Director wangu wote na baada ya hapo ninaweza kugundua yupi pumba na yupi mchele. Then nitakwenda ngazi ya pili na mpaka kwa wafagizi. Pili nitahire EXTERNAL AUDIITORS kutoka Kampuni kama PWC kupitia hesabu mbali mbali. Vile vile nitakuwa na internal auditors ambao wakuwa wanaangalia kwa umakini shughuli zote za idara ya fedha. Wale Directors wabadhirifu nitawabadilisha vyeo na kupangia kazi zingine za LAKINI MSHAHARA remain constant. Nitangalia uwezekano wa kubadili MATT na MACLENER kwa kuwapa kazi nyingine. Nitaset target kwa Kila idara on mothly basis in accumulation of sales and how we spend them.Nitkuwa nahitaji daily sales kutoka kwa kila cleck na financial manager. Nitangalia competition kati ya kampuni yangu na kampuni zingine za kusafilisha mizigo na abiria( Market share). Kabla sijawachosha naomba na nyie mawazo yenu ili kampuniangalau iingize bilion 10 faida serikalini. Nitaanzisha na issue za commission kwa watu wa sales na incentives kwa watu wa idara zingine based on performance bila kusahau mothly and annually basis commision. WADAU NAOMBA MAWAZO YENU KWANI MAWAZO YENU NI MUHIMU SANA KWA MAENDELEO YA TANZANIA YETU.



 
Kwa maoni yangu: pale kwenye kampuni kuna watu wamefanya kazi muda mrefu sana. Ulizia kwa wafanyakazi mtu anayeijua sana kampuni. Chagua kama watu watano wa namna hiyo. Waulize njia muafaka za kufanya ili kampuni ipae, iwe juu kwa kufanya vizuri, kwa kufanya maajabu, isipate hasara. Utapata majibu ambayo washauri wabobezi kutoka popote hawawezi kukuambia. Linganisha majibu ya hao watu, ili uyaondoe ya watu woga na yasiyofaa. Ubaki na majibu mazito ya mtu makini asiye mwoga na ni mkweli. Utapata majibu bora na mazuri. Hapo kampuni itapaa kwa kutumia elimu pevu ya pale pale bila gharama kubwa. Halafu unaweza kuwatuza watu hao kwa njia unazozijua. Fimbo ya mbali haiui nyoka.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom