Nimekaa nikafikiri, kwa mtaj huu labda nijarbu dhahabu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimekaa nikafikiri, kwa mtaj huu labda nijarbu dhahabu.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Engager, Jul 27, 2011.

1. Engager

Engager JF-Expert Member

#1
Jul 27, 2011
Joined: Jan 12, 2011
Messages: 329
Likes Received: 10
Trophy Points: 35
Lakisita (Tsh:600000), nnataka nijishughulishe na ununuaji wa dhahabu kutoka kwa wachimbaj wadogowadogo( locally) na kuuza at profit (kwe dealers wakubwa) pengine one day naweza kuwa among great dealer Tanzania au hata kimataifa (ths is ma desire). Hayo ni mawazo yangu wakuu. Naomben ushaur wenu wa kibiashara, should I do it au niachane nayo2. Natanguliza shukran zangu.

2. Amoeba

Amoeba JF-Expert Member

#2
Jul 28, 2011
Joined: Aug 20, 2009
Messages: 3,328
Likes Received: 95
Trophy Points: 0
Mkkuu, kama ungetaka msaada nadhani ungeweka data za kutosha.

3. T

Tall JF-Expert Member

#3
Jul 28, 2011
Joined: Feb 27, 2010
Messages: 1,431
Likes Received: 14
Trophy Points: 0
1.ni vema ukatafuta leseni ukawa deler
2. Mtaji ni mdogo sana.
3.Biashara ya mawe ina utapeli,dhuluma na uongo mwingi

4. Da Womanizer

Da Womanizer JF-Expert Member

#4
Jul 29, 2011
Joined: May 24, 2010
Messages: 1,561
Likes Received: 5
Trophy Points: 135
Una laki sita unataka kuwa dealer wa ZE GOLD. Ngoja tupate mawazo ya ma thinkaz lakini mi naona kama huo mtaji ni mdogo sana mkuu.

5. MKITO

MKITO Member

#5
Jul 30, 2011
Joined: Oct 8, 2010
Messages: 52
Likes Received: 0
Trophy Points: 13
labda ufanye biashara ile kitu ya tarime majaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii itakutoa ila uwe na network maana kudakwa asubuhi tu jioni haifiki utanyea ndooooooo

6. ibraton

ibraton JF-Expert Member

#6
Jul 30, 2011
Joined: Apr 7, 2011
Messages: 235
Likes Received: 98
Trophy Points: 45
go in ukaone unaeza kutoka dude''fanya chochote unachoona ni sahihi kwako'utawin usisikize watu jiamni.

7. ibraton

ibraton JF-Expert Member

#7
Jul 30, 2011
Joined: Apr 7, 2011
Messages: 235
Likes Received: 98
Trophy Points: 45
This is africa wazungu wanakuja na nauli tu wanaondoka na dollar laki6 komaa humu jf kuna wapumbavu wakukatishana tamaa wanajifnya wasomi na wajuaji sana''hii ndio africa kila kitu kiafanyika hapa'uchawi,wizi,utapeli,jaribu vyote hvyo utafanikiwa.

8. Prodigal Son

Prodigal Son JF-Expert Member

#8
Jul 30, 2011
Joined: Dec 9, 2009
Messages: 963
Likes Received: 60
Trophy Points: 45
Mie nakupa Moyo, hakuna kitu ambacho hakiwezekani pale utakapomtanguliza Muumba ( Mungu wa Ibrahim, Isaac na Yacob), mshukuru kama umefanikiwa kuwa na huo mtaji. Sio haba, Napenda zaana kusoma taarifa za wafanyabishara maarufu na ma CEO wa makampuni makubwa, wengi walianza walianza ni miraji midogo kabisa na ma CEO wengi walikuwa wafanyakazi wakawaida

Cha msingi,kama umehamua kufanya hiyo shughuli, Ipende, jitume, jifunze na omba ushauri kwa watu wanaofanya hiyo biashara. Unaweza hata kutumia internet kujifunza zaidi kuhusu dhahabu, hususani utambuzi, Kipindi cha sabasaba au nanenane jitahidi kutembelea wakama wa serekali wa madini. wapo wataalau ongea nao, ikiwezekana jenga mazoea nao watakupa msaada mkubwa tu.Baada ya muda utajenga uwezo mabank yatakuamini na unaweza ukakopa kuongezea mtaji wako. naamini with time na wewe utakuwa mfanyabiahsara mkubwa wa dhahabu kama wa- lebanon, waarabu, wachina, wanaotoka kwao na kwenda moja kwa moja kwa wachimbaji wadogo na kuchukua kwa bei chee na kwenda kuuza kwa bei kubwa. Mwaka juzi nilikuwa shinyanga vijijini nikakutana na wahindi, wachina wanatafuta diamond kwa wachimbaji wadogo wadogo, nilijiuliza kungekuwa na watanganyika wanaoyanunua hayo madini huko maporini na kwenda kuwauzia hao wachina, wahindi na waarabu kwenye miji yetu mikubwa kama arusha na DSM si angalau mzinguko wa pesa ungekuwa mpana na kuwafaidisha watanganyika wengi

Usikate tamaa kwa kuwa ushahamua kuifanya hiyo bishara ni vema ukaanza sasa na usisubiri kesho. Naamini with time lazima utayafikia malengo yako ya maisha

9. Mshume Kiyate

Mshume Kiyate JF-Expert Member

#9
Jul 30, 2011
Joined: Feb 27, 2011
Messages: 6,774
Likes Received: 22
Trophy Points: 135
Mkuu. Upo maeneo gani kama upo maeneo ya wachimbaji wadogowago maeneo ya Geita, nyakagwe, nyarugusu, unaweza kufanya lakini kama upo mbali na maeneo ya wachimbaji itakuwa ngumu

10. Engager

Engager JF-Expert Member

#10
Jul 30, 2011
Joined: Jan 12, 2011
Messages: 329
Likes Received: 10
Trophy Points: 35

ubarikiwe mkuu. Asante sana.

11. Engager

Engager JF-Expert Member

#11
Jul 30, 2011
Joined: Jan 12, 2011
Messages: 329
Likes Received: 10
Trophy Points: 35

nipo Geita mkuu.

12. Engager

Engager JF-Expert Member

#12
Jul 30, 2011
Joined: Jan 12, 2011
Messages: 329
Likes Received: 10
Trophy Points: 35

kaka ungejua gram 1 ya dhahabu inauzwa sh.ngp kwa ma-artisanal na kununuliwa sh.ngapi na wanunuz wakubwa usinge ushangaa mtaj wangu.

13. CHASHA FARMING

CHASHA FARMING Verified User

#13
Jul 30, 2011
Joined: Jun 4, 2011
Messages: 6,133
Likes Received: 2,129
Trophy Points: 280
MKUU MTU ASIKUKATISHE TAMAA HATA DAY MOJA WEWE SONGA MBELE NA IDEA YAKO. TATIZO HUMU WATU WENGI SANA NI WAFANYA KAZI NA SI WAFANYA BIASHARA NA WANAOGOPA BIASHARA KAMA UKOMA.

KWA KIFUPI HAMNA MTAJI MAALUMU WA KUTOSHA KUANZA BIASHARA
- WAPO WALIO ANZA NA 0 CAPITAL LAKINI LEO HII WAKO KWENYE ORODHA YA MATAJILI WAKUBWA
- WAKO WALIOANZA NA MITAJI MIDOGO SANA NA LEO HII WAKO MBALI MNO
- WAKO WALIOANZA NA IDEA PEKE YAKE BUT LEO HII NI WATU WENGINE
- UKISOMA MAKALA ZA SMEs in America wengi wa wafanya biashara wadogo kule america huanza na mtaji wa chini ya dola 10,000 can u imegine na ile ni marekani taifa kubwa na kila kitu ni juu

WATU WANAZANI ILI KUANZA BIASHARA NI LAZIMA UWE NA MILIONI 100, C KWELI KABISA HAKUNA MTAAJI MAALUMU WA KUAZNISHA BIASHARA, HATA 10,000 UNAWEZA ANZISHA NAYO BIASHARA NA MWISHO WA SIKU UKAWA MILIONEA

''YOUR FEATURE IS ALWAYS TODAY''

14. Engager

Engager JF-Expert Member

#14
Jul 30, 2011
Joined: Jan 12, 2011
Messages: 329
Likes Received: 10
Trophy Points: 35

thanks KOMANDO

15. Mshume Kiyate

Mshume Kiyate JF-Expert Member

#15
Jul 31, 2011
Joined: Feb 27, 2011
Messages: 6,774
Likes Received: 22
Trophy Points: 135

Basi mkuu nenda Nyakagwe au Nyakalilo, ukanunue mzigo kwa wachimbaji wadogo then unapeleka Geita mjini, mtaji ukikuwa unachukuwa mzigo mwingi unapeleke Mwanza Mjini, umenipata mkuu

16. Engager

Engager JF-Expert Member

#16
Jul 31, 2011
Joined: Jan 12, 2011
Messages: 329
Likes Received: 10
Trophy Points: 35

nimekupata mkuu, asante sana

17. c

changman JF-Expert Member

#17
Aug 1, 2011
Joined: Jul 26, 2011
Messages: 229
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
Ngoja nikupe story ya kukupa moyo. Mi nimeshafanya biashara ya mawe lakini kwa mara ya kwanza nilikurupuka. Wakati nasoma chuo niliamua kufanya hii biashara nikaenda porini na 30000 shs ilikuwa mwaka 2003, sasa kwa kuwa sikuwa hata nayajua madini yenyewe nikauziwa madini ambayo hakuna aliyetaka kuyanunu nilipokuja kuyauza bongo. So kuanzia hapo nikapata fundisho. So nikaanza kujielimisha kuhusu madini mpaka nikayaelewa then biashara ikawa safi. Cha msingi kama unataka biashara ya dhahabu hebu jielimishe kuhusu hiyo, sio lazima uende darasani unaweza kwenda kwa sonara ukampa 10000 akakupa ka elimu kadogo, mf jinsi ya kuitambua dhahabu halali na feki, then nenda machimbo siku moja chungulia jinsi biashara inavyokwenda kabla hujaanza rasmi, ili ukianza mzee unakula faida. BTW ukianza na mtaji mdogo inabidi uwe mvumilivu sana ili kuukuza, usijipe kwanza mpaka ukiwa na mtaji mkubwa. Ciao!

18. c

changman JF-Expert Member

#18
Aug 1, 2011
Joined: Jul 26, 2011
Messages: 229
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
Idea nyingine; Ukishakuza mtaji ukawa mkubwa vya kutosha nunua kifaa kinaitwa metal detector kinauzwa mil. 7, hiki unakuwa unaenda sehemu zenye dhahabu unakuwa unakipitisha juu ya ardhi kama kuna dhahabu chini kinapiga kelele unafukua unachukua dhahabu, kinaitwa Minelab GPX 5000. Cheki kwenye website ya minelab.com utaona dealer wa Tanzania yuko mbeya.

19. H

Haruna S Member

#19
Aug 3, 2011
Joined: Mar 26, 2011
Messages: 13
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Naomba unisaidie bei ya kununua?
Asante!

20. Engager

Engager JF-Expert Member

#20
Aug 3, 2011
Joined: Jan 12, 2011
Messages: 329
Likes Received: 10
Trophy Points: 35

asante sana kaka.

Loading...