Nimejizatiti kumtoa Sitta na CCM Urambo kwa tiketi ya CHADEMA

ndugu zangu wanajf, naomba nijitambulishe zaidi kwenu,
mimi ndiye paul andrew maganga.

Shule ya msingi nimesoma nseda katika kata ya nseda tarafa ya urambo.1992-1998
urambo sekondari 1999-2002
mkwawa high school 2003-2005
university of dar es salaam 2005-2008.bsc with educ.
University of arusha 2011-2013 ma in education management and leadership.

Baada yakutoka udsm, niliajiriwa edmund rice sinon high school arusha kama mwalimu wa kemia form six 2008-2011
nikaenda serikalini kinana sekondary hapahapa arusha.

Nikachukua mkopo ili nisome masters degree nanilifanikiwa.
Kwasasa nafundisha losirway sekondary, nimehamishwa shule 3 tangu 2011 kisa kuzuia wezi namafisadi.

Nilijua mimi siwezi kuwa mwalimu bali kutumikia jamii kubwa ya watanzania kwanafasi kama ubunge tangu 2008, ilikuwa niende 2010 urambo lakini nikawa sijajipanga sawasawa.

Sasa nikitokea arusha niko fit kuliko sitta anavyonichukulia. Siendi urambo kushindania ubunge, mimi nasubiri tarehe yakuapishwa, kwani tangu 2011 nilianza kazi urambo mashariki.

Na wiki ijayo naelekea urambo jimboni kwangu kumalizia kazi yangu kwaziara ya jimbo zima.nimeshaandika barua za kuacha kazi mazima, sio kuomba ruhusa bila malipo, nimeacha maana nitakuwa mbunge baada ya hapa, sina hofu.

Kwa wenye mapenzi mema yakubisaidia, contacts zangu hizi hapa, nitashukuru kwa mchango wako wowote.

Maganga14@ yahoo.co.uk

+255754852015
+255712550924.

Mungu awabariki watanzania wote kwa kuniombea.

Paul andrew maganga.

samwel ntakamulenga anagombea wapi,niliwahi kusikia urambo. Labda kama kuna majimbo mawili. Si mzoefu huko
 
Mtu anatupia CV kuanzia primary mpaka masters kasoma bongo,mbaya zaidi master ya education.
CV gani hizi zinatia aibu
Bukoba mtu kama huyu hata udiwani hatumpi

Huu utumwa wa kuendelea kuthamini vya wenzenu kuliko vya kwenu utawatoka lini?.

Watu wa aina hii msiba ukitokea bukoba ndio wanajifanya kulia kwa kingereza wakati kulia ni kulia tu.
 
Mtu anatupia CV kuanzia primary mpaka masters kasoma bongo,mbaya zaidi master ya education.
CV gani hizi zinatia aibu
Bukoba mtu kama huyu hata udiwani hatumpi

Acha ushamba wewe, bukoba kuna kitu gani hadi useme hivyo? Yale yele ya kuvimba bichwa mchana usiku unalala kwa jirani. Kama kusoma watanzania wote leo hii wanakwenda shule bila ubaguzi wowote. Hayo mambo yako ni ya enzi za ukoloni. Au unavimbishwa bichwa na matangazo ya biashara kwenye redio na tv kwa kuwa wanatumia rafudhi ya huko! Acha ubaguzi!
 
Sikushauri uache kazi yako!
Siasa itakushangaza dogo!
Unaweza kuitumikia jamii kwenye biashara! Siasa mizinguo tu! Ikifika November, Sitta amesha apishwa kuwa mbunge ndipo utakumbuka haya ninayo kuambia, wale wanao kusapoti sasa hawatakuwa nawe, njaa itakuwa nawe bega kwa bega!
Ni bora uache kazi kwa ajiri ya biashara na sio siasa
 
Mkuu jedrick nakuunga mkono kapambane, ila usiwe kama yule Msafir Mtemelwa,

Viva.
 
Last edited by a moderator:
Sikushauri uache kazi yako!
Siasa itakushangaza dogo!
Unaweza kuitumikia jamii kwenye biashara! Siasa mizinguo tu! Ikifika November, Sitta amesha apishwa kuwa mbunge ndipo utakumbuka haya ninayo kuambia, wale wanao kusapoti sasa hawatakuwa nawe, njaa itakuwa nawe bega kwa bega!
Ni bora uache kazi kwa ajiri ya biashara na sio siasa

Huyo ni msomi hawezi kulala njaa hata siku moja.ndio umuhimu wa elimu mkuu, unakuwa na machaguo mengi katika maisha.
 
Mtu anatupia CV kuanzia primary mpaka masters kasoma bongo,mbaya zaidi master ya education.
CV gani hizi zinatia aibu
Bukoba mtu kama huyu hata udiwani hatumpi
Ni kweli mkuu,mtu aliyepitia UDSM bukoba hapati kitu,nyie huko Bukoba mnawapa watu kama ASHUMTA MSHAMA,na inawezekana wewe ni ndugu na Ashumta coz naona kuna mfanano wa fikra kati yenu.
 
Umetoa mchango gani urambo kwa cv yako inaonyesha hujawahi kushiriki shuhuli yoyote ya maendeleo urambo we endelea kubugia chaki huko shuleni siasa achana nazo
 
Ndugu zangu wanaJF, naomba nijitambulishe zaidi kwenu,
Mimi ndiye Paul Andrew Maganga.

Shule ya msingi nimesoma Nseda katika kata ya Nseda tarafa ya Urambo.1992-1998
Urambo sekondari 1999-2002
Mkwawa high school 2003-2005
University of dar es salaam 2005-2008.Bsc with educ.
University of Arusha 2011-2013 MA in education management and leadership.

Baada yakutoka Udsm, niliajiriwa Edmund rice Sinon High school arusha kama Mwalimu wa kemia form six 2008-2011
Nikaenda Serikalini Kinana sekondary hapahapa Arusha.

Nikachukua mkopo ili nisome masters degree nanilifanikiwa.
Kwasasa nafundisha Losirway sekondary, nimehamishwa shule 3 tangu 2011 kisa kuzuia wezi namafisadi.

Nilijua Mimi siwezi kuwa Mwalimu bali kutumikia jamii kubwa ya watanzania kwanafasi kama Ubunge tangu 2008, ilikuwa niende 2010 urambo lakini nikawa sijajipanga sawasawa.

Sasa nikitokea Arusha Niko fit kuliko Sitta anavyonichukulia. Siendi Urambo kushindania ubunge, Mimi nasubiri tarehe yakuapishwa, kwani tangu 2011 nilianza kazi Urambo mashariki.

Na wiki ijayo naelekea urambo jimboni kwangu kumalizia kazi yangu kwaziara ya jimbo zima.Nimeshaandika barua za kuacha kazi mazima, sio kuomba ruhusa bila malipo, nimeacha maana nitakuwa mbunge baada ya hapa, sina hofu.

Kwa wenye mapenzi mema yakubisaidia, contacts zangu hizi hapa, nitashukuru kwa Mchango wako wowote.

maganga14@ yahoo.co.uk

+255754852015
+255712550924.

Mungu awabariki watanzania wote kwa kuniombea.

Paul Andrew Maganga.

Kuna Jembe moja nililisikia Makao makuu Kwamba limeaminiwa kuiondoa CCM pale Urambo, nikawauliza naskia kuna Kijana anaitwa Ntakamlenga wakasema Bado hajakomaa kisiasa..!

Lakini yote Tisa mie nawatakia kheri nyoote, ila Mjue Sita Ni Jambazi, Kabaji, Gang-leader, killer, mmakumbuka alichomfanyia gembe Na mpamanga. JuZi Kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkewe (ambaye ilisadikika alitaka kumwachia kijiti) alitembeza fuko la fedha, that time nilikuwa nahamasisha ikondamoyo, ifuta, kamalemdi, mama anachezea bastola sijapata ona.

Siasa Kwa sasa hasa Urambo Ni JAMBO la kujitoa, liwalo Na liwe. Mkumbuke bw kwezi Mjomba wa NASORO Mwenye Mashine ya kusaga tokea Enzi Zile nasoma Extenderd, kaja Na mkwara wa kujenga medical kubwa karibu Na guest iliyolala ya kaderege pale Tarafani, gues what happen, tokea Sita awe madarakani jamaa HATA Tofali moja maskini hajaongeza- Chezea Urambo, Chezea Sita. Unakumbuka WATOTO wa Lawi walijaribu kuiunga Mkono CUF kipindi kile wakachomewa Nyumba Yao, wakarudi Ccm faster Na mmoja akapewa udiwani..

Kwa hivyo sikupi wala sitoi takwimu za kumtisha Mtu lakini tuache kuongelea sahani za pilau, tuweke facts Mezani, Mtu jua Nyuma ya pazia kunani. Unapokwenda Urambo NENDA umeaga.. Tena aga kwelikweli.

Watu wasipo zijua sana Facts hizi, wakishateuliwa kugombea, ndio wale wanaotekwa Na kupelekwa mitimirefu Usiku, unakujua mitimirefu, huku Urasa Baada ya kuvuka makaburi, unapewa kwanza facts zote za hatari, kisha unaambiwa unakamata Milioni 50( ambazo wanazo pale) Na unatimka wilaya au unajifanya kichwangumu kuendelea Na Siasa. Mtu Mwenye mtazamo chanya tu kichwani, akishawaza kumwacha mydia wake, watoto, anakamata furushi Na kusepa. Anakisaliti CHAMA, anasaliti wananchi, anaisaliti Nchi, anamsaliti Na Mwenyezi Mungu, Na CDM Kwa sasa hatuta Kubali kitu hiyo kabisa.. Wababaishaji Na wasakatonge tutawachuja kwelikweli..
 
Nyie inshomile mbona mnapenda sifa sana!? Kwani mtu akisoma hapahapa Tanzania bila kwenda kusoma ulaya elimu yake inakuwa haina maana!? Bac kama hivyo ni kwanini bac inshomile wote msihamie huko huko ulaya!

Huyo sio nshomile ni kenge. Hakuna nshomile mpumbavu kama huyo. Kwanza mbaguzi na ana akili finyu sana
 
Unamjua vizuri Mzee wa viwango na standard.....dance according to the tone Mkuu ckukatishi tamaa lakini hapo sio size yko...ukawa wanatakiwa wamshauri pro lipumba aje ashughulike na hyo Mzee vinginevo utakua unapiga mbizi kwenye lami
 
ndugu zangu wanajf, naomba nijitambulishe zaidi kwenu,
mimi ndiye paul andrew maganga.

Shule ya msingi nimesoma nseda katika kata ya nseda tarafa ya urambo.1992-1998
urambo sekondari 1999-2002
mkwawa high school 2003-2005
university of dar es salaam 2005-2008.bsc with educ.
University of arusha 2011-2013 ma in education management and leadership.

Baada yakutoka udsm, niliajiriwa edmund rice sinon high school arusha kama mwalimu wa kemia form six 2008-2011
nikaenda serikalini kinana sekondary hapahapa arusha.

Nikachukua mkopo ili nisome masters degree nanilifanikiwa.
Kwasasa nafundisha losirway sekondary, nimehamishwa shule 3 tangu 2011 kisa kuzuia wezi namafisadi.

Nilijua mimi siwezi kuwa mwalimu bali kutumikia jamii kubwa ya watanzania kwanafasi kama ubunge tangu 2008, ilikuwa niende 2010 urambo lakini nikawa sijajipanga sawasawa.

Sasa nikitokea arusha niko fit kuliko sitta anavyonichukulia. Siendi urambo kushindania ubunge, mimi nasubiri tarehe yakuapishwa, kwani tangu 2011 nilianza kazi urambo mashariki.

Na wiki ijayo naelekea urambo jimboni kwangu kumalizia kazi yangu kwaziara ya jimbo zima.nimeshaandika barua za kuacha kazi mazima, sio kuomba ruhusa bila malipo, nimeacha maana nitakuwa mbunge baada ya hapa, sina hofu.

Kwa wenye mapenzi mema yakubisaidia, contacts zangu hizi hapa, nitashukuru kwa mchango wako wowote.

Maganga14@ yahoo.co.uk

+255754852015
+255712550924.

Mungu awabariki watanzania wote kwa kuniombea.

Paul andrew maganga.

nseda?????? Wewe ni wa urambo kweli weeeweee???!!! Hii nseda iko wapi tarafa ipi??
 
tueleze uliifanyia nnini urambo mpaka wana urambo wakupitishe?
 
unamjua vizuri mzee wa viwango na standard.....dance according to the tone mkuu ckukatishi tamaa lakini hapo sio size yko...ukawa wanatakiwa wamshauri pro lipumba aje ashughulike na hyo mzee vinginevo utakua unapiga mbizi kwenye lami

kwanza inaounyesha kabsaaa huyu si mwana wa urambo maana urambo yetu haina shule inaitwa nseda. Atujulishe hii shule kasomea wapi hapa urambo?
 
Huyo ni msomi hawezi kulala njaa hata siku moja.ndio umuhimu wa elimu mkuu, unakuwa na machaguo mengi katika maisha.

He he he! Mkuu wasomi wangapi wanakufa njaa mtaani??
Halafu field ya education una machaguo gani?
 
Back
Top Bottom