JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 475
Nimeanza mwez wa 3 halaf M TT Tar 29.5.2017 na Annual examns 9.6.2017 wazee nisome kwa technique gani ili nitoboe nimechagua masomo manne karibuni
Nadhani huyu kamaliza yote!Cha kwanza muombe Mungu akupe afya na uzima .pili hakikisha unatumia muda wako vizuri.tatu tafuta course outline ili ufahamu ni unacho paswa kujifunza .NNE soma kwa bidii .tano tafuta past paper sovle kwaajili ya kufaham namna ya kujibu maswali kwa ufasaha.mwisho uwe na nidham ya kimaisha
Asante sana bossCha kwanza muombe Mungu akupe afya na uzima .pili hakikisha unatumia muda wako vizuri.tatu tafuta course outline ili ufahamu ni unacho paswa kujifunza .NNE soma kwa bidii .tano tafuta past paper sovle kwaajili ya kufaham namna ya kujibu maswali kwa ufasaha.mwisho uwe na nidham ya kimaisha
Naomba nikushauri kiongozi ingia kwenye tovuti ya open then download currently prospectus utafahamu kiundani course unayo taka kuichukuaLLB ina unit ngapi kwa miaka yote mitatu?