Nimejiunga JF tarehe 01/12/2020 naenjoy Sana

Nakuuliza swali kuna vimbwenga vinadai chadema ni ya wachaga ni kweli ? Mimi ni muha wa kigoma kwa sasa niko GREEN CITY MBEYA
 
Nakuuliza swali kuna vimbwenga vinadai chadema ni ya wachaga ni kweli ? Mimi ni muha wa kigoma kwa sasa niko GREEN CITY MBEYA
Hapana ni chama cha watu wote ndio maana kwenye mgawanyo wa madaraka viongozi mbali mbali sio wachaga mfano Antipas Lissu, Mnyika na wengine
 
Back
Top Bottom