nimejiunga Jamiiforums

mko poa marafiki wa JamiiForums?
nimejiunga leo nikaribisheni.
1.Je..una maoni gani juu ya utendaji kazi wa rais ?

2.Je unaamini kwamba ccm ni kikwazo cha maendeleo ya taifa letu.
3.Nini kifanyike ili tuweze kufikia uchumi wa kati?

Karibu jamii forum...
 
1.Je..una maoni gani juu ya utendaji kazi wa rais ?

2.Je unaamini kwamba ccm ni kikwazo cha maendeleo ya taifa letu.
3.Nini kifanyike ili tuweze kufikia uchumi wa kati?

Karibu jamii forum...
umenikarbisha na maswali
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom