Nimejitosa kwa jimama tatizo lake bahili kupindukia!

you should be ashamed of yourself.sifa gani hizo za kuleta humu?kwa unayoyafanya hakuna tofauti na anaejiuza.acha kujiuza kaka,maana unampa penzi kwa kutegemea kulipwa hela.gangarika na maisha badala ya kutegemea kuhongwa
 
kama unataka hela bila jasho tafuta wanaume wenzako wakupakate....pole sana!!!
Wakuu naombeni msiniseme hovyo.katika zunguka zangu za kimaisha nilikutana na jimama moja ambalo kiukweli lilinipenda sana.Nikalichunguza na kugundua lina mikwanja ya ukweli basi nikakubali ombi lake tatizo ni kuwa huwa Ni kipatwa na matatizo hutoa shilingi 5000 tu.Juzi nilimwomba msaada niende kuwajulia hali ndugu zangu DODOMA akanipa elfu saba eti biashara ngumu.Wakati huohuo huitaji mapenzi kila anapojisikia.Je nifanyaje ili niweze kumfanya awe ananipa hela.
 
fanya kazi vizuri..hela utapata! hakikisha kwenye game kama unakaanga chapati vile
 
Jamani mbona kejeli na matusi vimezidi??
asaidiwe kama kimawazo au kisaikolojia unakuta wengine humu wanatukana kumbe tabia zao mbovu kuliko hata za huyu anaeomba kusaidiwa tuwe waungwana jamani..
 
Hehehehehe ukome...amejua unataka tu kumchuna ndo maana anakuachia buku tano na akizidisha sana ni saba......ushauri: tafuta demu wa size yako au utabaki na majimama tu till death do you apart
 
hii tabia imeenea sana kwa midume dizain yako mie mpenzi wangu akiniomba pesa tu natupa kule
 
Jamani mbona kejeli na matusi vimezidi??
asaidiwe kama kimawazo au kisaikolojia unakuta wengine humu wanatukana kumbe tabia zao mbovu kuliko hata za huyu anaeomba kusaidiwa tuwe waungwana jamani..
jee yeye ni under 18?nina uhakika anakijua anachofanya sicho,ameleta humu kama sifa tu,na ushauri anaoutaka yeye ni afanyeje ili apewe hela zaidi na huyo jimama.bora angejinyamazia kimya tu,akafanya yake bila kuyaleta humu
 
Wakuu naombeni msiniseme hovyo.katika zunguka zangu za kimaisha nilikutana na jimama moja ambalo kiukweli lilinipenda sana.Nikalichunguza na kugundua lina mikwanja ya ukweli basi nikakubali ombi lake tatizo ni kuwa huwa Ni kipatwa na matatizo hutoa shilingi 5000 tu.Juzi nilimwomba msaada niende kuwajulia hali ndugu zangu DODOMA akanipa elfu saba eti biashara ngumu.Wakati huohuo huitaji mapenzi kila anapojisikia.Je nifanyaje ili niweze kumfanya awe ananipa hela.

Hahahahaha! Umenifurahisha sana. Sasa kwa kulikomesha na wewe UKITOKA DODOMA LIOMBE LIKUPE TIGO!
 
Wakuu naombeni msiniseme hovyo.katika zunguka zangu za kimaisha nilikutana na jimama moja ambalo kiukweli lilinipenda sana.Nikalichunguza na kugundua lina mikwanja ya ukweli basi nikakubali ombi lake tatizo ni kuwa huwa Ni kipatwa na matatizo hutoa shilingi 5000 tu.Juzi nilimwomba msaada niende kuwajulia hali ndugu zangu DODOMA akanipa elfu saba eti biashara ngumu.Wakati huohuo huitaji mapenzi kila anapojisikia.Je nifanyaje ili niweze kumfanya awe ananipa hela.

Khaaaaa. YOU SEX MACHINE! Tatizo lako ni hapo pekundu, jimama linajua wanaotoka DOM ni beggers hawahitaji pesa nyingi......Joke!!!
 
Kasha kufanya ndondocha tayari. Mi nakushauri uachane naye kwani anaku haribia future yk na kama ni ajira zpo nyingi mzazi, ji2me!
 
Hivi unadhani hilo jimama lenyewe ni lijinga mpaka likugee mshiko wa maana wakati linaona kabisa haulisaidii chochote? Jipange upya wewe, kwa kijana yeyote yule mwenye determination na future yake hawezi fanya uozo ka wa kwako! Pole kwakweli maanake mawazo yako yanasikitisha sana yaani unalilia pesa za lijimama?!! Aisee!
 
Wakuu naombeni msiniseme hovyo.katika zunguka zangu za kimaisha nilikutana na jimama moja ambalo kiukweli lilinipenda sana.Nikalichunguza na kugundua lina mikwanja ya ukweli basi nikakubali ombi lake tatizo ni kuwa huwa Ni kipatwa na matatizo hutoa shilingi 5000 tu.Juzi nilimwomba msaada niende kuwajulia hali ndugu zangu DODOMA akanipa elfu saba eti biashara ngumu.Wakati huohuo huitaji mapenzi kila anapojisikia.Je nifanyaje ili niweze kumfanya awe ananipa hela.

una umri gani we paka,huwezi kwenda dodoma kuwaona wazazi wako ombaomba kwa hela zako?utakuwa kama wao labda hata babako alikuwa na tabia kama zako kutegeemea hela ya limama kwa kupinda mgongo,au ukoo wenu mna laana?unandugu pale ubungo mataa ombaomba?
 
jee yeye ni under 18?nina uhakika anakijua anachofanya sicho,ameleta humu kama sifa tu,na ushauri anaoutaka yeye ni afanyeje ili apewe hela zaidi na huyo jimama.bora angejinyamazia kimya tu,akafanya yake bila kuyaleta humu

imekaa vyema...
nimeipenda...
 
Wanaume wanaotegemea misaada kama wewe wanakuwa mashoga. Jichunge usizamishiwa dude kwa kutamani vya bure. Fanya kazi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom