Nimejitosa kwa jimama tatizo lake bahili kupindukia!

kazuramimba

Senior Member
Jun 14, 2011
126
57
Wakuu naombeni msiniseme hovyo.katika zunguka zangu za kimaisha nilikutana na jimama moja ambalo kiukweli lilinipenda sana.Nikalichunguza na kugundua lina mikwanja ya ukweli basi nikakubali ombi lake tatizo ni kuwa huwa Ni kipatwa na matatizo hutoa shilingi 5000 tu.Juzi nilimwomba msaada niende kuwajulia hali ndugu zangu DODOMA akanipa elfu saba eti biashara ngumu.Wakati huohuo huitaji mapenzi kila anapojisikia.Je nifanyaje ili niweze kumfanya awe ananipa hela.
 
Tatizo nikimwambia tuachane hukimbilia kusema atakunywa sumu. .Kazi ninafanya kwenye Office yake huu mwezi wa pili na nusu hajanipa mshahara wangu.!
 
kwenye rangi hapo...
kwa hiyo unamaanisha hiyo ni ajira yako koz umeangalia maslahi zaidi, basi ongeza bidii kazini siku hizi wanalipa kutokana na performance yako!!
ila mkuu unafanya kazi hatarishi, nakushauri utafute kazi nyingine bro.....
 
Tatizo nikimwambia tuachane hukimbilia kusema atakunywa sumu. .Kazi ninafanya kwenye Office yake huu mwezi wa pili na nusu hajanipa mshahara wangu.!

mkuu ofisi gani hiyo ipo mwilini mwa m2???
kimbia fasta bro, kazi hatarishi hiyo
 
Wakuu naombeni msiniseme hovyo.katika zunguka zangu za kimaisha nilikutana na jimama moja ambalo kiukweli lilinipenda sana.Nikalichunguza na kugundua lina mikwanja ya ukweli basi nikakubali ombi lake tatizo ni kuwa huwa Ni kipatwa na matatizo hutoa shilingi 5000 tu.Juzi nilimwomba msaada niende kuwajulia hali ndugu zangu DODOMA akanipa elfu saba eti biashara ngumu.Wakati huohuo huitaji mapenzi kila anapojisikia.Je nifanyaje ili niweze kumfanya awe ananipa hela.
Kijana Dezo itakuua hiyo. Dezo ndiyo inayokufanya unaning'inia kwa "mama yako", vijana wenzako huwaoni?? Halafu bila aibu unatuomba ushauri, unategemea tukutakusaidia nini???
 
Wakuu naombeni msiniseme hovyo.katika zunguka zangu za kimaisha nilikutana na jimama moja ambalo kiukweli lilinipenda sana.Nikalichunguza na kugundua lina mikwanja ya ukweli basi nikakubali ombi lake tatizo ni kuwa huwa Ni kipatwa na matatizo hutoa shilingi 5000 tu.Juzi nilimwomba msaada niende kuwajulia hali ndugu zangu DODOMA akanipa elfu saba eti biashara ngumu.Wakati huohuo huitaji mapenzi kila anapojisikia.Je nifanyaje ili niweze kumfanya awe ananipa hela.

Wacha ujinga bana.
 
Acha akil za kishetan inamaana kazi yako nikujiuza kwa majimama angalia utakufa maskin fanya kaz ujipatie kipato chako.
 
Nimesikitika sana na post yako, kweli mwanaume mzima unategemea kuhongwa na jimama! Usikubali kutumika kama comdom, jitahidi kufanya kazi ili iwe msaada kwako. Hilo suala la nani awe mpenzi wako litokane na vigezo vyako na siyo NJAA YAKO, ukiendekeza njaa ipo siku utaolewa kama utakuwa unapewa kila kitu unachokihitaji.
 
halafu tukiwaita wanaume suruali wanasema tumewatukana.......

sio wote bana,...ni huyu jamaa tu_nafikiri ana matatizo ya akili...unajua watu wengine wanafikiri kusaidiwa ni haki yao
 
Nimesikitika sana na post yako, kweli mwanaume mzima unategemea kuhongwa na jimama! Usikubali kutumika kama comdom, jitahidi kufanya kazi ili iwe msaada kwako. Hilo suala la nani awe mpenzi wako litokane na vigezo vyako na siyo NJAA YAKO, ukiendekeza njaa ipo siku utaolewa kama utakuwa unapewa kila kitu unachokihitaji.

imebidi akimbie
 
mwanaume zima linakuja kulia lia hapa kisa halipewi pesa ..............haya nenda kwambambie akuongeze mshahara kuendana na kazi unayofanya si ndio mwajiri wako........

ahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa!.....nafikiri angeshukuru hata 5,000 anayopewa...pumbafuuuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom