Nimejitolea kuwa mbeba ndoo ya michango kwenye mikutano ya CHADEMA

Chris Lukosi

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
4,581
2,937
Ndugu zanguni,

Baada ya kusikia jamaa zangu ambao ni wabunifu wazuri wa miradi ya kukusanya fedha kuwa wamekuja na singo mpya iitwayo PAMOJA DAIMA. Mimi kama Kamanda mstaafu, Kwa moyo mkunjufu nimeamua kujitolea kubeba ndoo ya michango wakati wa mikutano hasa ya Mbowe na Lema kama ishara ya kuwaunga mkono makamanda.

Ni mategemeo yangu kuwa uamuzi huu wa busara utaungwa mkono kwa nguvu zote na wengi na hata mbulumundu wetu wa hapa jamvini watanipongeza

SIO VYEMA KUWAACHIA VIONGOZI WA CHAMA KAZI HII NGUMU YA KUKUSANYA FWEDHA KWA MANDOO NA MABOKSI.

Ninawaahidi kutumia uzoefu wangu wa kubeba maboksi kwenye hii shughuli, hata ndoo ikijaa vipi nitanyopa tu, wengi mnaijua CV yangu kwenye fani ya maboksi.

JITAMBUE!
Cha1.jpg
 
Christ Lukozi
Acha unafiki wewe. Wewe chama hiki kilikushinda sasa mbona unasemasema mambo ya Chadema.
Wewe sio kitengo cha propoganda CDM
 
Nenda chuo cha mafunzo kwanza wakufundishe jinsi ya kuacha wizi wa michango.
 
Christ Lukozi
Acha unafiki wewe. Wewe chama hiki kilikushinda sasa mbona unasemasema mambo ya Chadema.
Wewe sio kitengo cha propoganda CDM
Mkuu kujitolea sio unafiki.

Mimi nimeamua kuonyesha ishara ya msikamano hasa kwenye masuala magumu kama ya ubebaji ndoo nzito za michango.
 
Bado tunakumbukumbu na rambirambi za mjane! Kaa mbali na michango yetu plz!!!!!!!!
 
Ndoo ikishajaa fedha inakimbizwa kwenye gari la LEMA chap, then inaletwa ndoo nyingine iliyo empty!
 
Hilo niliishamuachia Mchungaji bro.

Hebu nikuulize, ni kwa nini wabeba ndoo kwenye mikutano majina yao yanafanana?

MEKU, MOSHA, LEMA, MBOWE, SLAA....nk
 
Nilikuwa siamini kama chris lukos uliiba hela ya rambi rambirambi ya mjane na yatima lakini kwa jinsi ulivyoposti hii topic hapa kaka laana ya mwangosi ipo juu yako inatembea na wewe angalia usijekuwa chizi.
 
Ndoo ikishajaa fedha inakimbizwa kwenye gari la LEMA chap, then inaletwa ndoo nyingine iliyo empty!
Mkuu halafu ukiangalia kwa makini ndoo zote zina ukubwa si chini ya lita ishirini ili kuhakikisha ujazo unaopatikana ni wa kutosha
 
Mkuu kujitolea sio unafiki.

Mimi nimeamua kuonyesha ishara ya msikamano hasa kwenye masuala magumu kama ya ubebaji ndoo nzito za michango.
Unataka ukimbie nazo kama ulivyo kimbia na rambirambi ya mjane Mwangosi?hakuna mtanzania mwenye imani nawe labda majizi wenzako ccm
 
Ndugu zanguni,

Baada ya kusikia jamaa zangu ambao ni wabunifu wazuri wa miradi ya kukusanya fedha kuwa wamekuja na singo mpya iitwayo PAMOJA DAIMA. Mimi kama Kamanda mstaafu, Kwa moyo mkunjufu nimeamua kujitolea kubeba ndoo ya michango wakati wa mikutano hasa ya Mbowe na Lema kama ishara ya kuwaunga mkono makamanda.

Ni mategemeo yangu kuwa uamuzi huu wa busara utaungwa mkono kwa nguvu zote na wengi na hata mbulumundu wetu wa hapa jamvini watanipongeza

SIO VYEMA KUWAACHIA VIONGOZI WA CHAMA KAZI HII NGUMU YA KUKUSANYA FWEDHA KWA MANDOO NA MABOKSI.

Ninawaahidi kutumia uzoefu wangu wa kubeba maboksi kwenye hii shughuli, hata ndoo ikijaa vipi nitanyopa tu, wengi mnaijua CV yangu kwenye fani ya maboksi.

JITAMBUE!
Cha1.jpg
Kama rambi rambi ya mjane wa Mwangosi ililiwa je hiyo michango Itapona?
 
Ukitaka kukosana na MBOWE na LEMA basi omba kubeba ndoo ya michango, hata SUGU na MSIGWA hawana hiyo ruhusa ni MISUKULE tu wanaendeshwa kama gari bovu.
 
Back
Top Bottom