Nimejitolea kumshikisha adabu Nape Nnauye wanajamvi mniunge mkono

skendo

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
212
101
Habari zenu wana jamvi nimekua nikimfatilia kwa makini sana huyu kijana Nape na amekua akilopoka sana sasa mimi nimeamua kushindana nae kwa hoja ila kwakua sikuzote napenda kua mtu makini kwakila nilifanyalo ningependa vita hii ianzie hapa.kwakua huyu jamaa ametuma watu wake wengi sana katika ili jamvi kiasi kwamba wamekua wakituaribia mada zetu sasa kwakuanza nakuomba wewe mwana jamvi uandike jina moja ama zaidi la mtu unayedhani ni mmoja ya mamluki wa huyu jamaa umu jamvini kisha tukisha wajua hawa mamluki nitaelekeza atua inayofuata na tukiungana katika hili naamini kabisa watakimbia wenyewe na hii tutawatoa mpaka wale aliowatuma ata kwenye facebook.KUMBUKA UNACHOTAKIWA NI KUANDIKA JINA TU LA MTU UNAE MWONA UCHANGIAJI WAKE WA MADA AMA MADA ZAKE ZIMEKAA KINAPENAPE.Nia ya kuwashinda tunayo,Uwezo wakuwashinda tunao,na Nguvu ya kuwashinda tunayo.
 
achana na nape wewe! Tuwaze mambo ya maendeleo zaidi kuliko kulumbana na huyu mwanamziki!
 
Habari zenu wana jamvi nimekua nikimfatilia kwa makini sana huyu kijana Nape na amekua akilopoka sana sasa mimi nimeamua kushindana nae kwa hoja ila kwakua sikuzote napenda kua mtu makini kwakila nilifanyalo ningependa vita hii ianzie hapa.kwakua huyu jamaa ametuma watu wake wengi sana katika ili jamvi kiasi kwamba wamekua wakituaribia mada zetu sasa kwakuanza nakuomba wewe mwana jamvi uandike jina moja ama zaidi la mtu unayedhani ni mmoja ya mamluki wa huyu jamaa umu jamvini kisha tukisha wajua hawa mamluki nitaelekeza atua inayofuata na tukiungana katika hili naamini kabisa watakimbia wenyewe na hii tutawatoa mpaka wale aliowatuma ata kwenye facebook.KUMBUKA UNACHOTAKIWA NI KUANDIKA JINA TU LA MTU UNAE MWONA UCHANGIAJI WAKE WA MADA AMA MADA ZAKE ZIMEKAA KINAPENAPE.Nia ya kuwashinda tunayo,Uwezo wakuwashinda tunao,na Nguvu ya kuwashinda tunayo.

Hapo kwenye RED sinambavu
 
King James Version

1Now when Jesus was born in Bethlehem of Judaea in the days of Herod the king, behold, there came wise men from the east to Jerusalem, 2Saying, Where is he that is born King of the Jews? for we have seen his star in the east, and are come to worship him.
3When Herod the king had heard these things, he was troubled, and all Jerusalem with him. 4And when he had gathered all the chief priests and scribes of the people together, he demanded of them where Christ should be born. 5And they said unto him, In Bethlehem of Judaea: for thus it is written by the prophet, 7Then Herod, when he had privily called the wise men, inquired of them diligently what time the star appeared. 8And he sent them to Bethlehem, and said, Go and search diligently for the young child; and when ye have found him, bring me word again, that I may come and worship him also. 9When they had heard the king, they departed; and, lo, the star, which they saw in the east, went before them, till it came and stood over where the young child was. 10When they saw the star, they rejoiced with exceeding great joy. 11And when they were come into the house, they saw the young child with Mary his mother, and fell down, and worshipped him: and when they had opened their treasures, they presented unto him gifts; gold, and frankincense, and myrrh.
12And being warned of God in a dream that they should not return to Herod, they departed into their own country another way.

13 And when they were departed, behold, the angel of the Lord appeareth to Joseph in a dream, saying, Arise, and take the young child and his mother, and flee into Egypt, and be thou there until I bring thee word: for Herod will seek the young child to destroy him. 14When he arose, he took the young child and his mother by night, and departed into Egypt: 15And was there until the death of Herod: that it might be fulfilled which was spoken of the Lord by the prophet, saying, Out of Egypt have I called my son.

16
Then Herod, when he saw that he was mocked of the wise men, was exceeding wroth, and sent forth, and slew all the children that were in Bethlehem, and in all the coasts thereof, from two years old and under, according to the time which he had diligently inquired of the wise men.

Waache tu mkuu kwani ni watu na akili zao. Wakifika hapa Jamvini watapata ukweli kutoka kwa Great Thinkers na yawezekana wakamsaliti Nape kama walivyofanya wale wazee waliotumwa na Herode kwenda kumuona mtoto mchanga Yesu. Dunia ya sasa ni ya uwazi na ukweli na JF ni source nzuri ya watu kupata ukweli. Kwa kifupi aliowatuma ni kama amewapatia source ya habari za ukweli kwani naamini wakifika humu watajua gamba ni nani.
 
Nadhani huna kazi ya kuwajua, wanajibainisha wenyewe, wapare husema, " Mwanaharamu hata ungemficha kwenye chupa atatoa kidole nje." Walishatoa vidole nje, hujaviona?
 
Umetumwa na nani ww!! mbona post yako imekaa ki- Mukama mukama sana
 
mwingine mimi hapa. you small boy what you gonna do? you just wasteing you time , Nape is more thn you think. who are you by the way?idiot
 
wakuu kweli awa jamaa weupe sasa unauliza nimetumwa na nani eti mimi kijana mdogo kumbe ili upambane na nape lazima uwe mkubwa?
-Nimetumwa na watanzania na wameniambia nije nimwulize uyo bosi wenu siku za kuwatoa kina Rostam chamani bado hazija timia?mana wanaona mda unaenda tofauti na alivyokua amewahaidi
-kaka usihamaki sina nia ya kumwaga kitumbua chenu ila nahitaji kuwajua ili shughuli nayoianzisha iwafikie wote kama inavyo stahili.
waajamvi asanteni kwa kuniunga mkono mpaka sasa wameshapatikana kama 7 ila mchakato unaendelea endelea kuwaweka hadhalani wote walio tumwa na huyu mtu ili wapate stahiki yao toka kwa watanzania.
KUMBUKA MWISHO WA MCHAKATO HUU WAKUWAJUA KWA MAJINA NDIO MWANZO WA MCHAKATO WA KUWAKIMBIZA UMU JAMVINI NIUNGENI MKONO MANA TUNAWAWEZA VIZURI NA WENGINE KAMA MNAVYOONA WAMESHA PANIKI
 
hapo kweney red mbona Nape ashajibu !!!usikurupuke kaka kama kweli upo kwenye mapambano.
 
Fuatilia wote waliojiunga kwenye jamvi baada ya April 2011 na idadi ya post/reply/reply power ilivyokubwa utafikiri wanashinda na kukesha kwenye JF. Unakuta mtu anawastani wa post 10-30 kwa siku; uchangiaji wake utakupa picha ni watu wa kutoka wapi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom