Director Chuma
Member
- Feb 4, 2019
- 20
- 18
Kama ulikuwa na ndoto au unapenda kujua au kuongeza ujuzi wa Video production, basi ninadarasa YouTube unaweza kuandika Director Chuma utanipata.
Ninafundsha kiundani sana na kwa mifano. Lengo ni kusaidia wahitaji kwanza kabla ya yote
natamani siku 1 Tanzania tupige hatua zaidi katika video production na ikiwezekana tushike namba 1 Africa kwa uzalishaji mzuri wa video.
Tunaweza lakini ni lazima tusiwe wachoyo na wavivu kujifunza. Mimi nimeanza kujitolea kimtindo huu naombeni support yenu mimi nimethubutu na sio kwamba nmekosa kazi ya kufanya bali napenda kusaidia wengine.
Sent from my iPhone using JamiiForums