MANDEVUMENGI
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 1,277
- 3,298
Mkuu uko wapi nikupige ngumi ya uso pengne unaweza kurudiwa na akili!
Muongeze na makofi yangu mawiliMkuu uko wapi nikupige ngumi ya uso pengne unaweza kurudiwa na akili!
Anashangaza Sana Huyu Anafanya Muhari Na Maisha!!Acha ujinga wewe kuwa mwanaume, huyo hakupendi ukimwendekeza either uende jela au mapenzi yakuue. In short acha upumbavu tumia akili na fanya maamuzi magumu.
Aache kodi iishe si uyo dada atakuwa ashaliwa sn tu apo ni kwenda kumfukuza tu na mwenye nyumba aambiwe kuwa huyo dada hana nafas hpo akakae huko na uyp bwana wakeMkuu Hakuna haja ya ambush maana utazidi Kuumia tu. Kikubwa umesema Mtoto unaye hapo hilo ni bora zaidi,
Ushauri ni hivi wacha hiyo kodi iishe na usije ukalipa tena.
Halafu pia punguza kiherehere cha kupenda sana.
Kila la Heri mkuu
Kunywa bia nakuja kulipia huyu msela umemtoa kimasomaso
Kuzaa na mwanamke sio sababu ya kujitosheleza kumuoa.
Fanya haya matano utanishukuru
Let her Go.....Ruhusa Aende ukiamin kua we ni Mwanaume bora na mwenye mwonekano makini nakwamba Ni Mungu kakuepushia mabalaa.
Cut the Energy ,kwa kuhakikisha kwamba HUMPI NAFASI YA KUWASILIANA NAWEE YAAAN MBLOCK KUANZIA IG, FB, MPAKA HUKU JF KAMA YUPO NASEMA MBLOCK.....USITHUBUTU KUMTAFUTA WALA KUMTUMIA MESEJI HATA KWA BAHATI MBAYAAAAA..... ... ( ninakupa siri hapa, Ukimya kwenye mahusiano yenye mtafaruku ni zaidi ya AK 47 ) ni booooooonge la silaha.
Ondoa izo Negative feelings juu yake, acha kua na hasira, chuki za kijinga jinga , achaaaaaa nazoooo potezeaaaa.
Jipende sana yaaan ili umpende mwengine, nishariti uwe unajipenda kwahiyo focus on yourself , jipe thaman katika hili hakikisha
UNAJIWEKA KTK ILE LEVEL AMBAYO HATA YEYE HATOAMINI KUKUONA NAYO .. Namaanisha ivi , USIJE KURUHUSU KUMUONYESHA KUA BILA WEE HUNA FURAHA YAAN MAISHA YAKO YAMEKUA YA AJABU AJABU AJABU.
Faida ya hayo niliokuambia
ATAJILETA MWENYEWE.
INAKUPA UWEZO WA KUKABILI CHANGAMOTO KAMA HIYO
UNAENDELEA NA MISHE ZAKO KAMA KAWA.
Mapenzi ulevi eti mapenzi ni uteja,Acha ujinga wewe kuwa mwanaume, huyo hakupendi ukimwendekeza either uende jela au mapenzi yakuue. In short acha upumbavu tumia akili na fanya maamuzi magumu.
Ua fucking rytMchukue mwanao, Kama atakaa kwa Bibi yake poa hakikisha hakosi mahitaji yake.
Move On. Badili namba,Hama maji whatever it takes just let the silly cunt go.
Utarudi hapa kutuhadisia karma inavyomnyoosha.
Abadili namba uo ni ujinga amblock kila kona mpaka whatsapp kubadili namba haina tofaut na kumuogopaMchukue mwanao, Kama atakaa kwa Bibi yake poa hakikisha hakosi mahitaji yake.
Move On. Badili namba,Hama maji whatever it takes just let the silly cunt go.
Utarudi hapa kutuhadisia karma inavyomnyoosha.
Masela hatutupani.Kunywa bia nakuja kulipia huyu msela umemtoa kimasomaso
Wanawake wenzangu wanaume wa hivi mnawapata wapi