Nimejitoa kwa mpenzi wangu nimegundua haya. Je, nifanyeje?

Kuzaa na mwanamke sio sababu ya kujitosheleza kumuoa.

Fanya haya matano utanishukuru

Let her Go.....Ruhusa Aende ukiamin kua we ni Mwanaume bora na mwenye mwonekano makini nakwamba Ni Mungu kakuepushia mabalaa.

Cut the Energy ,kwa kuhakikisha kwamba HUMPI NAFASI YA KUWASILIANA NAWEE YAAAN MBLOCK KUANZIA IG, FB, MPAKA HUKU JF KAMA YUPO NASEMA MBLOCK.....USITHUBUTU KUMTAFUTA WALA KUMTUMIA MESEJI HATA KWA BAHATI MBAYAAAAA..... ... ( ninakupa siri hapa, Ukimya kwenye mahusiano yenye mtafaruku ni zaidi ya AK 47 ) ni booooooonge la silaha.

Ondoa izo Negative feelings juu yake, acha kua na hasira, chuki za kijinga jinga , achaaaaaa nazoooo potezeaaaa.

Jipende sana yaaan ili umpende mwengine, nishariti uwe unajipenda kwahiyo focus on yourself , jipe thaman katika hili hakikisha
UNAJIWEKA KTK ILE LEVEL AMBAYO HATA YEYE HATOAMINI KUKUONA NAYO .. Namaanisha ivi , USIJE KURUHUSU KUMUONYESHA KUA BILA WEE HUNA FURAHA YAAN MAISHA YAKO YAMEKUA YA AJABU AJABU AJABU.

Faida ya hayo niliokuambia

ATAJILETA MWENYEWE.
INAKUPA UWEZO WA KUKABILI CHANGAMOTO KAMA HIYO
UNAENDELEA NA MISHE ZAKO KAMA KAWA.
 
Mkuu Hakuna haja ya ambush maana utazidi Kuumia tu. Kikubwa umesema Mtoto unaye hapo hilo ni bora zaidi,
Ushauri ni hivi wacha hiyo kodi iishe na usije ukalipa tena.
Halafu pia punguza kiherehere cha kupenda sana.
Kila la Heri mkuu
Aache kodi iishe si uyo dada atakuwa ashaliwa sn tu apo ni kwenda kumfukuza tu na mwenye nyumba aambiwe kuwa huyo dada hana nafas hpo akakae huko na uyp bwana wake
 
Haya niliyapitia mwaka 2018 nilikuwa na mwamke nampenda balaaa nilimtunza kwa jinsi nilivyoweza nilifanya kila nilichoweza ili nimwonyeshe nampenda mwisho wa siku siku moja nampigia simu anapokea kidume mwenzangu ananiuliza mimi nani najitambulisha ananiambia huyo ni mkewe na nisimsumbue milele niliumia nikakaza roho nika move on mwaka huu 2021 eti anarudi anaomba turudiane ni muoe eti wameacha na jamaa na wanamtoto mmoja nikamwambia tu sioi single mother pili hesabu yake kwangu iliisha kwa hiyo jamaa kaza moyo amuwa kiume
 
Kuzaa na mwanamke sio sababu ya kujitosheleza kumuoa.

Fanya haya matano utanishukuru

Let her Go.....Ruhusa Aende ukiamin kua we ni Mwanaume bora na mwenye mwonekano makini nakwamba Ni Mungu kakuepushia mabalaa.

Cut the Energy ,kwa kuhakikisha kwamba HUMPI NAFASI YA KUWASILIANA NAWEE YAAAN MBLOCK KUANZIA IG, FB, MPAKA HUKU JF KAMA YUPO NASEMA MBLOCK.....USITHUBUTU KUMTAFUTA WALA KUMTUMIA MESEJI HATA KWA BAHATI MBAYAAAAA..... ... ( ninakupa siri hapa, Ukimya kwenye mahusiano yenye mtafaruku ni zaidi ya AK 47 ) ni booooooonge la silaha.

Ondoa izo Negative feelings juu yake, acha kua na hasira, chuki za kijinga jinga , achaaaaaa nazoooo potezeaaaa.

Jipende sana yaaan ili umpende mwengine, nishariti uwe unajipenda kwahiyo focus on yourself , jipe thaman katika hili hakikisha
UNAJIWEKA KTK ILE LEVEL AMBAYO HATA YEYE HATOAMINI KUKUONA NAYO .. Namaanisha ivi , USIJE KURUHUSU KUMUONYESHA KUA BILA WEE HUNA FURAHA YAAN MAISHA YAKO YAMEKUA YA AJABU AJABU AJABU.

Faida ya hayo niliokuambia

ATAJILETA MWENYEWE.
INAKUPA UWEZO WA KUKABILI CHANGAMOTO KAMA HIYO
UNAENDELEA NA MISHE ZAKO KAMA KAWA.
Kunywa bia nakuja kulipia huyu msela umemtoa kimasomaso
 
Ktk maisha hakuna jambo zuli kama kuchukua maamuzi,

Ni bora uchukue maamuzi sasa ikiwa maamuzi yako mabaya itakuwa ni sehemu ya kujifunza lkn kama maamuzi yak yatakuwa mazuli itakuwa ni jambo jema, ni bora uchukue maamuzi sasa haijalishi uwe umechelewa au umewai kuliko kukaa kimya na kuishi kama mvu angali you hai

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Acha ujinga wewe kuwa mwanaume, huyo hakupendi ukimwendekeza either uende jela au mapenzi yakuue. In short acha upumbavu tumia akili na fanya maamuzi magumu.
Mapenzi ulevi eti mapenzi ni uteja,

Nakukumbusha tu Samson na nguvu zake zote za kuua simba kwa mikono lakini alinasa kwenye mikono ya delila, shida kila mtu anajiona jamaa ni kawa weak sana kitu ambacho sio yani, sifa kuu ya MWANAUME ni udhaifu kwenye MAPENZI unashangaa nini sasa, mtu unajifanya gangster kifala kwasababu gani inachekesha sana, tumshauri kwa kumpa matumaini mapya
 
Pole sana kwa yaliyokukuta Mkuu.

Achana naye, tena hata usifuatilie anayoyafanya au yuko na nani. Pambana na maisha yako, ya mwanao na ya wazazi wako.

Inauma sana, na inakuwa ngumu sana kuachana kwa kuwa ni mzazi mwenzio na watu wenu wa karibu wanajua. Lakini kama siyo ridhiki hata ufanyaje.

Achana naye, hapa mwanzoni utaumia sana na utaona mambo hayaendi, lakini trust me, baada ya muda utasahau and you will certainly move on.

Pole mkuu na hongera kwa uvumilivu ulionao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom