Nimejitoa kwa mpenzi wangu nimegundua haya. Je, nifanyeje?

Thank You Bro! At Least Kuna Wanaume Wanaonielewa Kwanini Napitia Yote Haya Na Nimekua Nikipambana Still!!
Nakuelewa sana chief, get urself together anza kuwaza maisha ya kwako na mtoto, Mungu atasimama na wewe, utakuja niambia siku moja huyo mwanamke atapitia mapito Mungu acheleweshi adhabu...

Atajuta na hutakua na ule moyo tena, ushauri ni hivi unajua kwa kuwa umefanya kila liwezekanalo umeshindwa umetumia nguvu zote umempenda bila ubaguzi sasa usilie wala kunung'unika maana you did everything.. Its time u wake up na kusonga mbele trust me utaishi maisha mazuri sana
 
MWANAMKE ANAEWEZA KUMUACHA MWANAE KISA DUDU huyo sio Mwanamke wa kumfikiria hata siku mojaa achana naee shetani huyoo...!!! Shukuru umemchukua mwanao endelea na maisha fazaaa mbona wanawake wengi sana yani wengi kinyamaaa. Bora angekuwa wife material ningesema kweli ilaa shetani huyooo hapanaa aisee uache uboyaa na wewe.
 
Hii stori ipo kwenye bongo movie au watu hawa wapo ktk jamiii hii tunayoishi sote.

Ila haya ni moja Kati ya matatizo makubwa Sana ya uzinifu MTu hupati pakusema hata KWA wazazi mwenendo wa tabia za mtoto wao zilivyo mbaya
 
Arusha kuna maeneo mazuri sana ya watoto kucheza mpeleke mtoto akacheze huko, nakuambia muda wa miezi miwili tu ata ku unblock iliawajulie hali hapo sasa uwe unachukua picha ukiwa na mtoto wako mkiwa na furaha tele itamuumiza na pia, ikiwezekana uhame eneo ulipokua unakaaa, acha ajifunze pitia maumivu
 
Kama kweli upo njia panda pasua Nazi,

Ipo hivi embu pambana tena kama mwanzo ulivyokuwa unapambana lkn sasa pambana kwa ajili yako na mwanao sio mwanamke tena, ipo cku nitaleta kisa changu hapa lkn wanawake usiwaaamini hata chembe,

Huyo yupo kimaslai zaidi ile nyumbani uliopanga nakushauli ukahamishe vitu vyoote maana ipo cku utakuta ameuza vyoote na ukimuuliza atakuambia ule urithi wa mwanae,

Uza kila kitu rudisha nyumbani kwa mwenyewe nawe mblock acha na habari za mtoto kiufupi mpitezeee na ikiwezekana anzisha mahusiano mengine sehemu nyinginee kwa mwanamke mwingineee muanze maisha menginee mpate watoto wengineee . owa kabisaaaa kwa maaana yule mtasumbuana kwenye dini
 
Maisha yako yatakua mazuri sana, kumbe na mtoto kakuachia
emoji23.png
emoji23.png
kwanza tabasamu mkuu maana umemonyesha Mungu kuwa muaminifu, mungu huwa hawaachi watu wake,

Arusha kuna shule nzuri sana mtoto atasoma shule nzuri na atafaulu utakua na maisha fukani hivi amazing, unajua mtu anaekuacha ndiyo anakua na guilt nyingi sasa chief acha kulalamika chukuliw ni funzo lilikuw unapitia
 
Pole sana aisee, mpotezee huyo dada we pambana na mwanao kabla mambo hayajaharibika zaidi tena shukuru haujafunga nae ndoa maana saivi ungekua na maumivu mara 2.
Asichokijua ni kwamba hiko kijamaa kinampenda kwavile unamhudumia, sasa utakapokata huduma akaanza kupauka ndio atajua hajui.
 
Danh we mzee ni boya sio kwamba nakutukana ila hata hao viumbe (wanawake) waliousoma huu uzi nina uhakika wamekuona kama mjinga..

Anyway ushauri wangu kama mwanaume lazima uwe na msimamo, kama yes iwe yes kama no iwe no (bad thing in life is when a man say yes instead of saying no or vice versa)

Umeshaona kua hapo hakuna mapenzi ya nini kumng'ang'ania mwanamke as if yeye ndio oxygen. Fuata moyo wako unataka nini lakini ambatanisha akili yako mbele, hakuna mwanamke asiye na mapenzi ya kweli lakini ukiona hivyo ujue kabisa you are not her man, na lazima ukubali matokeo haijalishi yanakuumiza kiasi gani.

Focus na michongo yako na mwanao basi then ipe karma nafasi yake. Successful is a massive revenge komaa make money achana nae huyo mwanamke utakufa bure kwa stress.

Siku zote mtu akiona unampenda sana halafu hauna msimamo lazima atakutesa sana
 
Wewe Mwenyewe Ni Mvulana Wa Darasa La Nne A Ama Darasa La Saba F?

Unahangaika Usipotakiwa Kwanini Usitulie Ujipange Upya Ama Ndiyo Tuseme Sasa Hivi Una Miaka 70 Hujui Lolote!!


Utasumbuliwa Mpaka Utaharibu Kazi Ndiyo Akili Yako Itakaa Sawa Sawa, Unalamba Matapishi Kwa Ufundi.


Achana Na Huyo Mwanamke Haraka Sana Utakufa
Cheti Anza Taratibu Upya Utapata
 
Acha ujinga wewe kuwa mwanaume, huyo hakupendi ukimwendekeza either uende jela au mapenzi yakuue. In short acha upumbavu tumia akili na fanya maamuzi magumu.
Bora umemwambia wewe mwanamke labda atakuelewa,, umemaliza kila kitu mkuu asipokuelewa basi akili zake zitakua hazina akili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom